Nimeulizwa swali na mwanangu, naomba jibu

crome20

JF-Expert Member
Feb 5, 2010
1,130
721
Wana jamvi Amani iwe kwenu. Mtoto wangu wa darasa la sita aliniuliza swali mwaka mmoja uliopita mpaka sasa sijapata jibu, nakuja kwenu maana kanikumbushia ikabidi nimuombe samahani. Anauliza, ukitaka kumuuliza mwenzio " Wewe ni motto wa ngapi kuzaliwa" kwa Kiingereza unasemaje?
 
mkuu crome20 itafute kwenye jukwaa la jokes utakuta thread kama mia mbili kuhusu swali hilo.
 
Last edited by a moderator:
Hili ndio nachukua kama jibu Mkuu otherwise mtu aje na kitu kingine. Thanks Kiranga
Which position are you in your family's sibling order?

I myself happen to be the first born, Kiranga by nature ni lazima awe wa kwanza kutaka kutoka!
 
What number are u hold in your farmily.eg. 1.0r esc born,or third.hapo vp
 
Which position are you in your family's sibling order?

I myself happen to be the first born, Kiranga by nature ni lazima awe wa kwanza kutaka kutoka!
Kiranga;
Hivi neno sibling huwa halina "s" ya kuashiria uwingi?
 
Last edited by a moderator:
You are born of what number?
What number are you?
(Sijaangalia dictionary but mimi huwa nauliza hivyo)
 
I am not born of any number, whatever that means.

And most certainly I am not a number, thank you very much.
 
Wana jamvi Amani iwe kwenu. Mtoto wangu wa darasa la sita aliniuliza swali mwaka mmoja uliopita mpaka sasa sijapata jibu, nakuja kwenu maana kanikumbushia ikabidi nimuombe samahani. Anauliza, ukitaka kumuuliza mwenzio " Wewe ni motto wa ngapi kuzaliwa" kwa Kiingereza unasemaje?

Where do you rank among your brothers...kama angekuuliza BABA MIMI NI MTOTO WA NGAPI ? jibu ni WHERE DO I RANK AMONG UR CHILDREN
 
Wana jamvi Amani iwe kwenu. Mtoto wangu wa darasa la sita aliniuliza swali mwaka mmoja uliopita mpaka sasa sijapata jibu, nakuja kwenu maana kanikumbushia ikabidi nimuombe samahani. Anauliza, ukitaka kumuuliza mwenzio " Wewe ni motto wa ngapi kuzaliwa" kwa Kiingereza unasemaje?

Ungemueleza hivi;

Lugha ni Utamaduni wa watu, na kila kundi la Watu lina Utamaduni wake, hivyo kuna mambo ambayo yanafanyika kwetu lkn hayafanyiki kwenye Tamaduni nyingine, vile vile kuna maneno ambayo yapo ktk Lugha yetu lkn hayapo kwenye Lugha nyingine na kinyume chake, hivyo Swali kama wewe ni mtoto wa ngapi kuzaliwa ni la Utamaduni wetu na Tamaduni nyingine halipo, au limepotea kwa kuwa wao hasa Wazungu(kiingereza) wanazaa watoto wachache hivyo watauuliza tu labda kama una dada au kaka na kama wewe ni mkubwa au mdogo, lkn swali wewe ni wa ngapi kuzaliwa halina maana sana, ila kwetu lina maana kwa sababu kila Mwanamke ana Watoto 5.2 nchini kwetu hivyo hilo swali lina maana!
 
I am not born of any number, whatever that means.

And most certainly I am not a number, thank you very much.
Kiranga ya pili nilimaanisha what number are you in your family?
ngoja niongeze
you are of what number in your family?
 
First of all, when asking a question in english, the convention is to write "Are you....?" not "You are....?". You are is more of a statement than a question.

On top of that.

I am of no number.

I am of a stock of the Sukuma, I am of the freethinkers, I am of those who cut to the chase, I am of the kin of Jiganga Jilangisa, I am of Bafumo nolo Basumba Batale, I am of Babinha, I am of Mkuranga, Msanga-Kisiju, Nagurukulu, Utete, Tanga.

But I am of no number in my family.My family is made by people, not numbers.

Rephrase your question to communicate in a more meaningful way.
 
The order is a sibling order, it lists siblings. We talk about "sibling rivalry" not "siblings rivalry".

Ona huyu anaongelea "Sibling-order effects" na si "siblings-order effect"

http://www.sulloway.org/Sibling-order-effects(2001).pdf

Nadhani yeye yuko sahihi kwa sababu ameunganisha maneno mawili kwa kutumia hyphen, yaani "sibling" na "order", akatenegenza neno moja ambalo "sibling-order", na si mawili tena. Huoni kwamba usipoyaunganisha, neno sibling inabidi lisomeke katika uwingi wake, yaani liwe siblings?
 
A native English speaker talks about a shoe rack, not about a shoes rack, the singular represent the plural. That is the logic of efficiency from the perspective of the English language.

We talk about the human race, not the humans race.

The way you are looking at this you would want us to talk about siblings order, shoes rack and humans race.
 
First of all, when asking a question in english, the convention is to write "Are you....?" not "You are....?". You are is more of a statement than a question.

On top of that.

I am of no number.

I am of a stock of the Sukuma, I am of the freethinkers, I am of those who cut to the chase, I am of the kin of Jiganga Jilangisa, I am of Bafumo nolo Basumba Batale, I am of Babinha, I am of Mkuranga, Msanga-Kisiju, Nagurukulu, Utete, Tanga.

But I am of no number in my family.My family is made by people, not numbers.

Rephrase your question to communicate in a more meaningful way.

Mzee wengine watakuwa wanakusanifu kukupotezea muda achana nao huhitaji kuwajibu
 
A native English speaker talks about a shoe rack, not about a shoes rack, the singular represent the plural. That is the logic of efficiency from the perspective of the English language.

We talk about the human race, not the humans race.

The way you are looking at this you would want us to talk about siblings order, shoes rack and humans race.

But see the examples you have given us. You can have orders, racks as well, but you can not have races. Do not you see that the race example does not perfectly fit in the case? If it does then the rack example issue should be irrelevant. Do not know if I'm correct or wrong!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom