Wana jamvi Amani iwe kwenu. Mtoto wangu wa darasa la sita aliniuliza swali mwaka mmoja uliopita mpaka sasa sijapata jibu, nakuja kwenu maana kanikumbushia ikabidi nimuombe samahani. Anauliza, ukitaka kumuuliza mwenzio " Wewe ni motto wa ngapi kuzaliwa" kwa Kiingereza unasemaje?
What is your ordinal position?