Awali nilipuuza lakn sasa nalazimika kustuka ninapoona pm tatu zinaniuliza mm ni jinsi gani, wewe unadhani mm ni jinsi gani?
Sasa unauliza ili iweje wkt jibu unalo? Watu wengine bana
Anataka na wewe ukamuulize
Sent from what am thinking using JamiiForums
Awali nilipuuza lakn sasa nalazimika kustuka ninapoona pm tatu zinaniuliza mm ni jinsi gani, wewe unadhani mm ni jinsi gani?
kamwanaume
Wewe km Semenya.
Hahahaaaaaaa!
Ndio wakoje hawa?
utu ni tumwanaume tote twa form5na6 , form4 na dvsn5. Udogoishi.
Maneno yako yananivutia sasa....naona utamu utamu
utam upi tena?
Wa maneno tu...mwingine siujui kbs