Nimeugua ugonjwa wa zinaa ambao hauponi na aliyenipa yuko fresh

Ulimuambiaje mama?
Niliacha kuvaa t-shirt nikawa navaa mashart then nafunga vifungo mpaka juu sh ngoni,kuficha mapele ya kifuani...

Pamoja na kujifichaficha mama aligundua..ila hakujua ni ugonjwa gani..

Nilimwambia tu mama kwa upole uku machozi yananilenga.

"Mama nahisi nina ugonjwa wa zinaa"
Nahisi alionganisha dot na mapele yangu ya kifuani.

Hakuwahi niuliza chochote wala hatukuwahi kulizungumzia mpaka leo.
 
Kupitia huu uzi na jinsi mada imekuwa na mguso kwa jamii kubwa iliyochangia mada inaonekana magonjwa ya zinaa yana wadau wa kutosha, na mmekuwa wakali kweli kweli kwa huyo aliyetania.
 
Hatari siku kadhaa mwez 8 nilimla mtoto mmoja hivi!!
Sasa baada ya hapo nikawa nasikia kitu kinatekenya kwenye dudu!!
Nikaenda nikapima hawakuona kitu

Hali ikaendelea mpaka mwez wa9!! Ambapo nikaanza kuwashwa ndani na baadae discharge
Nikaenda hospitali treatment wiki mbili? Nafuu tena hali ikarudi
Nikaenda tena treatment hali ikarudi
Nikaenda tena
Nikaenda tena

Yaani hadi saa hizi bado niko na shida sijui nimepata vidudu gani havisikii dawa wala sindano!!

Jamani tutumieni condom hata kama mmepima HIV!!
Nawaza nikipona nisijefanya mapenzi tena
Kuwa na mpenzi mmoja ambaye ni mwaminifu
 
Niliacha kuvaa t-shirt nikawa navaa mashart then nafunga vifungo mpaka juu sh ngoni,kuficha mapele ya kifuani...

Pamoja na kujifichaficha mama aligundua..ila hakujua ni ugonjwa gani..

Nilimwambia tu mama kwa upole uku machozi yananilenga.

"Mama nahisi nina ugonjwa wa zinaa"
Nahisi alionganisha dot na mapele yangu ya kifuani.

Hakuwahi niuliza chochote wala hatukuwahi kulizungumzia mpaka leo.

Umepona
 
Hilo litakuwa Gono inawezekana labla huajatibiwa au kupona kuna pisi ulipitanazo ukaziambukiza bila kujua, na hizo pisi bado unaendelea kupigia. Ili kupona tatizo lako anza kutibu pisi zako zote ulizopita nazo wakati unaumwa na kuanzia sasa anza kutumia Condom wakati matibabu yako yakiendelea

Cjapona sasa
 
Nishawahi pata hii kitu nikiwa secondary,
Nikafanya siri nikawa napiga antibiotics kimya kimya na sikupona...
Nikahamia kwenye sindano,pena du(sina hakika na spelling)
Ebana hizi zinauma hadi unapewa kitanda upumzike,siwez sahau na wala sikupona...

Mwisho viakiba vikaisha na hali inazidi kuwa mbaya...

Nikawaza ni mface mzee nikaona patachimbika..
Final decision ni "bi maza".ilikua ngumu ila nilimweleza.

Mama ni mama aisee,akuongea chochote zaidi ya kuniangalia kwa huruma,akaingia chumbani akatoka amejitupia kanga yake...
"Ambition twende".

Nilidungwa hayo sijui ma powerself week nzima..

Nikapona kabisa mpaka leo.

Mkuu nenda hospital zinazoeleweka fanya vipimo upate tiba sahihi.
Huo ugonjwa ukoje ukoje?. Na hali mpaka kuwa mbaya unakuwaje?
 
Hilo tatizo hata mm ninalo Kama mwezi Sasa unakwenda kuisha,nilienda hospital kupima wakasema Sina maambukizi ya zinaa Ila Nina U.T.I nyingi nkapata dawa nimemeza lakini Hali haikuisha ,nkaenda nkapima Tena sehem nyingine majibu nliyopewa na yalele Sina zinaa lakini nkikaa na mkojo muda mrefu nkienda kukojoa au nkijikamua uume wangu Kuna vitu Kama maziwa au usaha vinatoka , Cha ajabu Ni kwamba sisikii maumivu yoyote Wala muwasho wa aina yoyote Niko kawaida tu!!wakuu hii inaweza kuwa Nini??na tiba yake Ni Nini??
Mkuu ushapona?
 
Mmmmmmhmn hiyo sio UTI. Maana UTI haihusishi kutokwa Usaha.
 
Hiyo ni kirusi cha herpes
Herpes haiusishi muwasho wala maumivu. Inatoa melengelenge ya kimya kimya yasiyo na maumivu wala muwasho. Yanatoka na kupotea kimya kimya. Nilisoma hii kitu kwenye biology na YouTube. Ukitazama utaona wanaielezea. Ukiipata haiponi hata kidogo.
 
Kaka nishamaliza dawa za hospitalini za vidonda vya tumbo lakini bado sijapona nataka kunywa mkojo wa asubuhi nilikuwa nauliza je nkunywa ule mkojo mweupe au wanjano je na kwa siku ngapi?
Ukitaka kujitibia maradhi yako ya vidonda vya tumbo kwa kutumia mkojo wako. Jambo la kwanza nenda Hospitali Asubuhi kabla ya kula kitu ukapime mkojo wako je hauna maradhi yoyote ya njia za mkojo? Je mkojo wako upo safi na huna wadudu aka Bacteria wowote wale? Ukisha pima na vipimo vimeonyesha kuwa huna maradhi katika njia za mkojo ndipo kesho yake asubuhi kabla ya kula kitu nenda kakojoe mkojo wako kisha kinga kipimo cha glasi moja kisha kunywa . baada ya kwisha kunywa kaa kwa muda wa saa moja bila ya kula kitu baada ya saa moja kupita waweza kula chakula chako chochote kila kesho yake fanya hivyo tena na tumia hiyo dawa kwa muda wa siku 10 kisha nenda ukapime vidonda vyako vya tumbo utakuta umesha pona. Kisha uje hapa ulete mrejesho wako. Onyo unapotumia hiyo dawa usifanye mapenzi na mwanamke yoyoe yule kwa muda wa siku 10. Baada ya kumaliza dawa waweza kufanya mapenzi na mwanamke yoyote unaye mtaka. chanzo. Herbalist DR.MziziMkavu.
 
Back
Top Bottom