The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 18,119
- 50,928
Allah azidi kumuongoza na atuongoze viumbe vyake wote njia ya kheri In sha Allah.
Leo nimemuona hapa msikitini kwetu kigoma ujiji baada ya swala ya ijumaa...ni sahihi kabisa maneno yako.Jamaa mbona muumini mzuri wa dini ya kiislam anaswali hapa palestina sinza na vazi lake kuu ni kanzu na kilemba na ni zaidi ya timamu.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
SawaAsalam alaykum
Leo ni siku ya ijumaa nawatakia siku njema wana jf wote humu ndani.
Jambo kubwa lililo nifurahisha sana katika nafsi yangu ni kumuona huyu mwamba saigon saleh a.k.a Saigon akiwa katika hali ya utulivu kabisa na unyenyekevu wa hali ya juu sana,ndani ya msikiti ninao swalia swala za kila siku na za siku kama ya leo aljumaa.
Saigon alikuwa katika muonekano wa kistaarabu kabisa wa mavazi ya kanzu nyeupe na kilemba cha rangi zenye mchanganyiko wa nyeupe na nyekundu...hakika nilipata furaha sana ndani ya nafsi yangu..kumuona kijana huyu aliyekuwa kinara wa hiphop wa kundi la Diplomatz waliokuwa miongoni mwa waanzilishi wa hiphop na bongo fleva hapa nchini pia mtangzaji wa zamani wa eatv wa kipindi cha hiphop base.
Mimi ni mmoja wa watu waliokuwa wafatiliaji wa kubwa wa hiphop hapa bongo na nje ya nchi,hivyo saigoni alikuwa ni miongoni mwa watu niliokuwa na wafatilia sana kabla ya kuachana na hayo mambo....kwa sasa si mshabiki sana kama zamani.
Kilichonifanya niandike hapa ni uwezo wa Mungu mtukufu kunikutanisha na mtu niliyekuwa namkubali sana ndani ya nyumba ya ibada tena baada ya swala ya ijumaa, tena huku nyumbani kwetu ujiji kigoma mwisho wa reli aisee nimefurahi sana,Saigon alikuwa mnyenyekevu sana katika maongezi yake kiasi kwamba unaona imani imejaa katika moyo wake kwa sasa..japo kuwa kuna watu walisema amepoteza network mara dishi limeyumba....naweza kusema jamaa yuko timamu kabisa sema kwa sasa ameamua kumtumikia mola wake mtukufu hivyo tuache kumchafua.
Nadhani katika watu waliokuwepo pale msikitini hakuna aliyeweza kumfahamu kama alikuwa mtu maarufu kwenye fani ya hiphop....walijua ni sheikh wa kawaida,nilipata wasaa wa kumsalimia akaitikia kwa adabu sana....alikaa chini na kuwapa nasaha wanafunzi wanaosoma katika msikiti huu wa markazi hapa ujiji...kisha akaletewa mizigo yake mabegi na vitu vingine akapanda pikipiki akawa ameondoka bwana saigon ndani ya mji mtukufu wa ujiji....saigon ni mzima wa akili na anajitambua kabisa sikuweza kupiga nae picha simu yangu ilikuwa chaji.
Allah amuongoze saigon na watu wote duniani.
Amechagua njia nzuri sana Mola amjaalieSaigon Allah kashamuonyesha nuru ila hv karibuni alikuw morogoro akiwa mtangazaji wa tv iman naona atakuwa anajishghlisha na mambo mengine,ila amekuw mwema sana sshv Allah atuongoze sote ...aamin
Asalam alaykum
Leo ni siku ya ijumaa nawatakia siku njema wana jf wote humu ndani.
Jambo kubwa lililo nifurahisha sana katika nafsi yangu ni kumuona huyu mwamba saigon saleh a.k.a Saigon akiwa katika hali ya utulivu kabisa na unyenyekevu wa hali ya juu sana,ndani ya msikiti ninao swalia swala za kila siku na za siku kama ya leo aljumaa.
Saigon alikuwa katika muonekano wa kistaarabu kabisa wa mavazi ya kanzu nyeupe na kilemba cha rangi zenye mchanganyiko wa nyeupe na nyekundu...hakika nilipata furaha sana ndani ya nafsi yangu..kumuona kijana huyu aliyekuwa kinara wa hiphop wa kundi la Diplomatz waliokuwa miongoni mwa waanzilishi wa hiphop na bongo fleva hapa nchini pia mtangzaji wa zamani wa eatv wa kipindi cha hiphop base.
Mimi ni mmoja wa watu waliokuwa wafatiliaji wa kubwa wa hiphop hapa bongo na nje ya nchi,hivyo saigoni alikuwa ni miongoni mwa watu niliokuwa na wafatilia sana kabla ya kuachana na hayo mambo....kwa sasa si mshabiki sana kama zamani.
Kilichonifanya niandike hapa ni uwezo wa Mungu mtukufu kunikutanisha na mtu niliyekuwa namkubali sana ndani ya nyumba ya ibada tena baada ya swala ya ijumaa, tena huku nyumbani kwetu ujiji kigoma mwisho wa reli aisee nimefurahi sana,Saigon alikuwa mnyenyekevu sana katika maongezi yake kiasi kwamba unaona imani imejaa katika moyo wake kwa sasa..japo kuwa kuna watu walisema amepoteza network mara dishi limeyumba....naweza kusema jamaa yuko timamu kabisa sema kwa sasa ameamua kumtumikia mola wake mtukufu hivyo tuache kumchafua.
Nadhani katika watu waliokuwepo pale msikitini hakuna aliyeweza kumfahamu kama alikuwa mtu maarufu kwenye fani ya hiphop....walijua ni sheikh wa kawaida,nilipata wasaa wa kumsalimia akaitikia kwa adabu sana....alikaa chini na kuwapa nasaha wanafunzi wanaosoma katika msikiti huu wa markazi hapa ujiji...kisha akaletewa mizigo yake mabegi na vitu vingine akapanda pikipiki akawa ameondoka bwana saigon ndani ya mji mtukufu wa ujiji....saigon ni mzima wa akili na anajitambua kabisa sikuweza kupiga nae picha simu yangu ilikuwa chaji.
Allah amuongoze saigon na watu wote duniani.
Picha yake iko wapi, tuone alivyotulia.Asalam alaykum

InshaAllah tumuombee kheri kijana mwenzetu na tumuombe mwenyezi Mungu amfanyie wepesi kwenye maisha yake ya kila siku na sisi InshaAllah tumuombe mwenyezi Mungu atujalie kheri na kutuweka kwenye njia sahihi....
Nasikia pia Hashim Dogo kutoka kikosi naye kwasasa ni ustaadhi ule usela wake wa block 41 kauacha na iwe kheri pia kama naye yuko kwenye njia hiyo...bila shaka na Kala Pina naye atajifunza kutoka kwa masela wake...
Idara ipi Mkuu?hashim ni mtumishi wa idara.....usipumbazwe na huo uustadhi wake.
Dah! 😁😁Na siku Mbowe akila mvua uje ushangilie hivyohivyo
tissIdara ipi Mkuu?