UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 566
Kuna Mtu Sina Mazoea Nae Sana Leo Kaja Inbox Baada Ya Kusoma Baadhi Ya Thread Zangu Sijui Jiwe Limempata?
HujajiPM kwa id yako mwenyewe,mana una id nyingiKuna Mtu Sina Mazoea Nae Sana Leo Kaja Inbox Baada Ya Kusoma Baadhi Ya Thread Zangu Sijui Jiwe Limempata?
Umeimiss BAN habari za PM huku hazifai mkuuKuna Mtu Sina Mazoea Nae Sana Leo Kaja Inbox Baada Ya Kusoma Baadhi Ya Thread Zangu Sijui Jiwe Limempata?
mzima lakiniKumbe.
Kuna baadhi ya wanaume humu JamiiForums hawana busara hata kidogoNimemiss mtanange kumbe
nani tena hao wamechafukwa roho mpaka jic ika-don't
Kaja hapa jukwani kujisifia kuwa kawafuata inbobo kawachamba mpaka mmeomba poo! Mtoto wa kike alikuwa kachefukwa leo... Jamani, guseni maslahi mengine, ila ndoa hapana. Hamjui watu wamestrugle vipi mpaka wamewekwa ndani, leo hii mnataka muwavunjie ndoa zao? Ndoa tamu wewe!