Nimetupa Jiwe Gizani Nimesikia Uwii Humu Jf.

Kaja hapa jukwani kujisifia kuwa kawafuata inbobo kawachamba mpaka mmeomba poo! Mtoto wa kike alikuwa kachefukwa leo... Jamani, guseni maslahi mengine, ila ndoa hapana. Hamjui watu wamestrugle vipi mpaka wamewekwa ndani, leo hii mnataka muwavunjie ndoa zao? Ndoa tamu wewe!

Nimemiss mtanange kumbe

nani tena hao wamechafukwa roho mpaka jic ika-don't
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom