Nimetumwa Nguo Chafu Ya Adui Yangu Nitaipataje?

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
942
566
Wadau Wenzangu Wa Mambo Ya Jadi Nimepitapita Maeneo Flani Nimetumwa Nguo Yake Chafu Yenye Jasho Nitaipataje Maana Nitahangaika Nae Miaka Na Miaka Mpaka Akione Cha Mtema Kuni.Sitakubali Kushindwa.
 
Mtongoze Mke wake au mume wake then umteke kwa mapenzi ya Visiwa vya shelisheli, Kupitia huyo utapata nguo yake chafu ya Adui ako
 
duuh!! bora ingekuwa safi ungesubiri afue, uibe kwenye kamba. sasa chafu utaitoa wapi yarabi toba!....waganga wehu kweli.
 
Hatimaye leo nimepata mwenye shida kama yangu..
Mimi kuna jamaa kanitapeli Laki 5 zangu.. Nikaweka uzi hapa kuwa Natafuta mtaalamu wa mambo ya jadi. Sikufanikiwa.
Jamaa aliacha nguo zake kadhaa getto kwangu. Hivo mkuu nielekeze huyo mtaalamu nikamuone
 
No Retreat No Surrender Nikianzisha Vita Yangu Hairudi [HASHTAG]#revenge[/HASHTAG] Ni Sehemu Ya Life Yangu Na Wala Sijutii My Heart Will Be Free After Saying [HASHTAG]#missioncompleted[/HASHTAG].
 
Waganga wana mambo yaani wanaagiza vitu vyenye ugumu tu ili kumkomoa mteja wake
 
Back
Top Bottom