Nimetumiwa msg na namba nisiyo ifaham

Babu sea

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
953
742
Ujumbe wenyewe unasomeka hivi nanukuu

"jamani waheshimiwa watarajiwa 2015 ni Bernad Membe,Samwel Sitta na Emmanuel Nchimbi tafakari chukua hatua" mwisho wa kunukuu

wadau naomba mnifafanulie nini maana ya hizi msg
 
maana yake kabla ya 2015 wewe mtoa ada utakua marehemu
 
Ujumbe wenyewe unasomeka hivi nanukuu

"jamani waheshimiwa watarajiwa 2015 ni Bernad Membe,Samwel Sitta na Emmanuel Nchimbi tafakari chukua hatua" mwisho wa kunukuu

wadau naomba mnifafanulie nini maana ya hizi msg

Tuwekee hiyo namba ya simu iliyokutumia msg tumuulize maana yake.
 
Ujumbe wenyewe unasomeka hivi nanukuu

"jamani waheshimiwa watarajiwa 2015 ni Bernad Membe,Samwel Sitta na Emmanuel Nchimbi tafakari chukua hatua" mwisho wa kunukuu

wadau naomba mnifafanulie nini maana ya hizi msg

Zipuuze tu hazina maana yoyote kisha zifute tu!
 
nahisi kwamba watakuwa miongoni mwa watakaosaka urais kupitia ccm
 
Ujumbe wenyewe unasomeka hivi nanukuu

"jamani waheshimiwa watarajiwa 2015 ni Bernad Membe,Samwel Sitta na Emmanuel Nchimbi tafakari chukua hatua" mwisho wa kunukuu

wadau naomba mnifafanulie nini maana ya hizi msg

Kwanza wewe umetoka Lini jela?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom