...Nimetumia Saa 1:15 kutembea Kutoka K/KOO TO K/mwisho...

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Sikuwa na Mchezo baada ya kumaliza shughuli zangu Kariakoo...niliamua kutembea kutoka K/koo mpaka kimara Mwisho....muda niliotumia ni Saa limoja na dakika 15....

...fitest for the fist...
 
Iwe mara kwa mara hautaumwa cholestral maana utakuwa unachoma mafuta ya kutosha.
 
Sikuwa na Mchezo baada ya kumaliza shughuli zangu Kariakoo...niliamua kutembea kutoka K/koo mpaka kimara Mwisho....muda niliotumia ni Saa limoja na dakika 15....

...fitest for the fist...

Week hii nzima hata ukipewa hutaweza tehe tehe, hongera sana.

Ila kama ni mazoezi poa lakini kama ni wale jamaa ambaye anasaga rhumba toka G/Mboto - Posta ambapo nauli ni 600 pamoja na kugeuka na gari anafika Posta ananunua soda ya 600 (I'm joking).
 
Duh... Unauhakika kweli hukupata hata lifti hapo kati? Maana hiyo time...! Labda kama ulikuwa mchaka mchaka mwanzo mwishoo
 
ndo naamka nilifika na kulala.....e bwana si mbali ki ivyo sema mazoea ndo yameharibu watu
 
Hata husain bolt hawezi bwana!! Huo mda mdogo sana maana kutoka k/ko mpaka kimara kama km 10 hv ambayo ni 10,000m kwa saa 1 15mins maana dkk 75 that means ulikua unatembea 134m kwa dakika ambayo haiwezekani

Wazee wa namba utawajua tu umekalukulate mpaka nimechoka mie maana mie na hesabu ni ziro kabisa dah we mkali
 
Hata husain bolt hawezi bwana!! Huo mda mdogo sana maana kutoka k/ko mpaka kimara kama km 10 hv ambayo ni 10,000m kwa saa 1 15mins maana dkk 75 that means ulikua unatembea 134m kwa dakika ambayo haiwezekani

Na ina maana alikuwa anatembea Mita 2.2 kwa Sekunde. Ngumu kumesa!
Kwamba inawezekana nakubaliana naye, ila hilo suala la muda angejaribu kuongeza kidogo.
 
Back
Top Bottom