Nimetongoza zaidi ya wasichana 50 darasani, wote wananikataa sijui nina shida gani

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,305
29,828
Poleni na majukumu ya kila siku, ripoti ya CAG ni kituko sana. Yote kwa yote mimi ni mwanachuo nasoma chuo X katika jiji la Dar Es Salaam.

Lakini kwa wanaume wenzangu nadhani mnajua kuwa Kuna mda tunahitaji kuosha rungu Sasa mimi shida yangu ni moja.

Kila msichana darasani kwetu nikimtokea ananitolea nje na block juu afu chaajabu wale ninaowatongoza Kuna jamaa angu nakaa nae kila siku ananipiga exile anaingia nao gheto anawatafuna balaa.

Nimeamua Hili swala niliweke humu jamii forum ili mnisaidie kisaikolojia lakini pia mnisaidie tips za kuwatafuna hawa wanawake maana sielewi nina gundu gani ambayo haifai hata kugandisha gazeti.
 
Chuo X ndo chuo gani?

Tafuta hela dogo mademu watakuja tu wenyewe. Shida yako wewe unataka upate utelezi wa bure wakati hauna kitu chochote extraordinary cha kuwavutia wachumba. Kama vipi anza kuwapiga desa ili uwale kimasihara achana na mambo ya kutongoza.

Ukishindwa vyote ivyo wapigie nyeto tu hamna namna
 
Poleni na majukumu ya kila siku, ripoti ya CAG ni kituko sana. Yote kwa yote mimi ni mwanachuo nasoma chuo X katika jiji la Dar Es Salaam.

Lakini kwa wanaume wenzangu nadhani mnajua kuwa Kuna mda tunahitaji kuosha rungu Sasa mimi shida yangu ni moja. Kila msichana darasani kwetu nikimtokea ananitolea nje na block juu afu chaajabu wale ninaowatongoza Kuna jamaa angu nakaa nae kila siku ananipiga exile anaingia nao gheto anawatafuna balaa.

Nimeamua Hili swala niliweke humu jamii forum ili mnisaidie kisaikolojia lakini pia mnisaidie tips za kuwatafuna hawa
Usitongoze Mwanamke kabla hujamjengea mazingira ya awali, jenga kwanza ukaribu, baadae anza kumuomba ufanye naye mtoko, akikubali usiwe na pupa, kaa naye sehemu nunua juice au soda huku unaongea naye mazungumzo ya kawaida kuhusu maisha, epuka kilevi kipindi hiki hata kama unatumia.

Epuka sana mawasiliano ya mara kwa mara kwenye simu, sometime yeye aanze kukutafuta, siku nyingine mpe mwariko aje kwa room, akikubali imeisha hiyo, anza kumpa misitari huku ukiwa naye zero distance, usipofanikiwa rudi hapa nikupe mbinu nyingine.

Mimi nimeshawala Wanawake wengi hata bila kutongoza kutokana na mazoea, mfano. Kuna mmoja alikuja ghetto usiku, tukala story mpaka saa nne usiku, baadae anaaga ili aondoke nikamshika mkono, ile anashangaa nikaanza kumpa denda, chezea kishenzi, nikamla kimasihara.
 
Back
Top Bottom