Nimetongoza mke Wa rafiki

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Apr 17, 2017
8,413
12,324
Bila kujua kuna jamaa tunaishi mtaa mmoja pia rafiki yangu kiaina

Sasa nilisikia kuwa ana mke ila yupo bush
Nimekutana nae akitoka saloni nikamtongoza akanipa namba zake Sasa Leo jamaa akaniita Na kunieleza kwa kunitambulisha Sasa hapa sijui itakuaje Na demu anachati sielewi anawezaje

Ngoja nisitishe mpango Wa kumla
 
KY sikuizi imekua hadimu sana madukani mkuu, uwe karibu tu ata na mafuta ya kupikia kwa usalama wako
 
Baby yule mnyarwanda bado hujapata wa kukusindikiza?yule muarabu uliyeniambia katika interview je?

Mke mwenza kapeace naomba nikuachie bureee kabisa huyu kiumbe
 
Dj ina maana season two ya interview kwa wakaka,wababa na wababu imekushinda?
 
Kuna watu watatu hatari kwa watu walio na wake zao hapa JF:GuDume,DJ sepetu na Beira Baby Boy!!......naomba uongozi wa JF uondoe hawa watu JF mara moja!!
 
Back
Top Bottom