Nimetokezea meeeeeen

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,833
155,781
561490_531990813492844_2146211274_n.jpg
 
Yaani siku akiwa mtu mzima halafu ukute hapendi hayo mambo, jiandae kwa kujieleza, baba au mama unaweza ukawa adui wa mwanao bila kutarajia. Mvishe mwanao mavazi ya kawaida, huo ulimbukeni acha aje afanye mwenyewe, wewe mzazi usiwe chanzo. Itafikia mahali atakuabisha na utaijutia siku uliyoanza kumvalisha hivyo.:confused2:
 
Naomba tuoanishe hii hali na malalamiko ambayo yamekuwa yakitolewa na takribani wa TZ wote kwamba maadili yameporomoka, wengine wakisema tutunze utamaduni. Sijui huu mchakato wa kupambana na mmomonyoko wa maadili na ukiukwaji wa utamaduni wetu unaanzia wapi? Je ni Mzazi, mtoto, mwalimu, serikali, dini, wafadhili ama nani jamani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom