Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,864
- 155,820
sijui baba yake atajielaje?Akikua afu akawa na mtazamo tofauti wa mambo hayo siku akigundua ulishawahi mvisha hivyo lazima adai maelezo ya kina
sijui baba yake atajielaje?
"Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo"Akikua afu akawa na mtazamo tofauti wa mambo hayo siku akigundua ulishawahi mvisha hivyo lazima adai maelezo ya kina
kwa hiyo mkuu una maanisha hawezi kubadilika huyu!"Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo"
Dogo lazima nimmarekani.
LilyFlower
Huyo anapatikana masaki Dar na sio USA