Nimetokea kumpenda shemeji, nashindwa kujizuia

Wakuu nimeoa mimi na nina watoto kabisa na ndoa nimefunga.

Ila sasa huyu mkewangu ana mdogo wake sio kisu kivile e ila tokea nimuone kwa mara ya kwanza.

Nimejikuta nampenda kias kwamba na shindwa kujizuia kuna muda mpaka nikahama hapa home na kwenda kupanga mkoa mwingine ili kudhibiti hisia zangu lakin kila nikirud hali inajiludia ikabidi niongee na wife kuhusu hili jambo.

Nashukuru wife alinipiga mkwala roho ikatulia lakin imekua kwa muda kitendo cha kumuona tu akili yangu inateseka sana.

Sasa wakuu nifanyeje nitoke kwenye hiyi hali maana hata yeye anajua kupitia dada yake na ubaya ninaishi nae hapahp.

Mniokoe jaman kuna miaka mi nne sasa inapita mwenye mbinu anipe nisije nikajivunjia heshima na isitoshe jamii inauonizunguka inanichukulia kama kioo kupitia tuvikampun na vigari vya urithi.

Maana hisia hazina mbabee alishindwa Samsoni mtu wa Mungu kwa Delilha mimi ni naniii.
Ulikosea sana kuingia 'ndoani' kabla ya kufungiwa 'spidi gavana'.Mwanaume asiyefungiwa 'spidi gavana' kuhalalisha vitu haramu ni kugusa tu.
 
Wakuu nimeoa mimi na nina watoto kabisa na ndoa nimefunga.

Ila sasa huyu mkewangu ana mdogo wake sio kisu kivile e ila tokea nimuone kwa mara ya kwanza.

Nimejikuta nampenda kias kwamba na shindwa kujizuia kuna muda mpaka nikahama hapa home na kwenda kupanga mkoa mwingine ili kudhibiti hisia zangu lakin kila nikirud hali inajiludia ikabidi niongee na wife kuhusu hili jambo.

Nashukuru wife alinipiga mkwala roho ikatulia lakin imekua kwa muda kitendo cha kumuona tu akili yangu inateseka sana.

Sasa wakuu nifanyeje nitoke kwenye hiyi hali maana hata yeye anajua kupitia dada yake na ubaya ninaishi nae hapahp.

Mniokoe jaman kuna miaka mi nne sasa inapita mwenye mbinu anipe nisije nikajivunjia heshima na isitoshe jamii inauonizunguka inanichukulia kama kioo kupitia tuvikampun na vigari vya urithi.

Maana hisia hazina mbabee alishindwa Samsoni mtu wa Mungu kwa Delilha mimi ni naniii.
Una Raha mkuu , hongera sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom