Nimetokea kumpenda shemeji, nashindwa kujizuia

Unawaza "jamii" na "ndugu" watakuonaje? Unawaogopa sana hao kuliko MUNGU?

Hivi ulishawahi kuwaza ikiwa ukilala na shemeji yako MUNGU atakuonaje? Au wewe huna "hofu" ya MUNGU bali una hofu na wanadamu wenzako?

Ndugu, ikimbie zinaa.
Huyo mungu unamjua wewe wengine wapagani
 
Acha tamaa za kipumbavu. Je kama mdogo wako atampenda mke wako utajisikiaje? Kama unatoka kwenye makabila ambayo yana tabia za kipanya panya na kurukiana bila mipaka, utasikia ushauri wa kipumbavu kuwa we kata tu wakati matokeo yake utawaumiza mkeo na watoto na wewe mwenyewe. Tamaa mbele mauti nyuma.
Utamaduni wa wew sio wa mimi
 
Hivi unaanzaje mwambia mkeo kua unamzimia mdogo wake..mzee utachapiwa hadi akili inyoke we vimba tu na hizo mali za wazazi kama medi dewji

Nilipofika hapa, nikamuomba mama muuza aniongezee vitumbua, chai ipo JF
 
We jitoe akili tu, nawe wakupige moto ndani ya nyumba akili ikukae sawa, unaleta akili za nyege shauri yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom