Nimetokea kumpenda lara 1

HII NDIO CV YAKO MKUU!!!!!unajua ngeli wewe!una pesa ya kuishi mjini!!
 
Duh unatanifanya leo nishinde hapa jamvini mpk lara 1 aje ni kilanga iki leo ila ikitokea mmeamua kwenda kule chemba utuambie pia...kila la heri iko kidhungu km haujui siku hizi INGLISHI KOZI kibao
 
Last edited by a moderator:
Sema kijana! Utanifanyia nini? Umejipangaje to make me happy! FYI SIENDEKEZI FREE PUMBU!

mpe nafasi kijana wa watu
Umenitisha ulivyoanza kuzitaja korodani hadharani maana nijuavyo mie haya mambo mlitakiwa mkatete faragha
 
Odili samalu njoo sasa, mwenyewe kaja. Ngoja tuangalie mpambano. haahahahahaaha...
 

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom