Nimetokea kuipenda JF

Ngaramanyagu

Member
Jun 16, 2017
31
51
Habarini humu ndani;
Ni mgeni humu lakin nilikuwa napitia majukwaa mbalimbali kabla ya kujiregista rasmi,nimegundua kuwa JF ni nzuri kwa kuongeza maarifa katika nyanja mbalimbali.Hakika naamini nimefanya chaguzi sahihi.Hongereni wote mlioanzisha JF.Naomba mnipokee,Nawasilisha kwa member wote;
 
Habarini humu ndani;
Ni mgeni humu lakin nilikuwa napitia majukwaa mbalimbali kabla ya kujiregista rasmi,nimegundua kuwa JF ni nzuri kwa kuongeza maarifa katika nyanja mbalimbali.Hakika naamini nimefanya chaguzi sahihi;


KARIBU SANA MKUU
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom