Nimetoka Rwanda leo, kweli nimeamini Tanzania hamna wanawake

Hii habari haijakamilika kabisa.

RWANDIES LADIES.
maxresdefault.jpg
 
Nimetoka rwanda leo nimerudi tanzania jamani rwanda kuna wanawake kuna wadada wazuri aiseenilienda kikazi ila nitafanya mpango niende kustarehe nile bata huko huku tanzania hamna wadad wowote lazima nikaoe rwanda asee wale wadada wana kila kitu shape sura tabia dah lazima nioe kule kkumbe huku hamna kitu
Kwa nini unamtusi mama yako mzazi wee mwana!!?
 
mkuu pitia na uganda pia ulete mrejesho
Uganda hata usiende braza mademu wananuka mdomo kama nini!? Na lifestyle yao kama ya Jamaica wananiudhi saana...they are dirty and careless with less classy and tenderness.

Nilifika Uganda na Rwanda kwa ajili ya bata tu..Uganda its dirty cheap kwa bata ila Rwanda its expensive for no reasons but u get value for money uliyospend nilienjoy sana Rwanda na sijutii safari yangu Rwanda. Na nitarudi tena soon ile raha si ya dunia hii asee! Loh!

Good girls kibao na kiingereza changu cha kufake kama mnyawezi wa US vile kumbe mzaramo wa mwaneromango wacha mademu wa kitutsi wanikimbile wakidhani mhisani kumbe wangejua!?

Ninachowapendea mademu wa kinyarwanda wana shobo tofauti na waganda wana zile kama za akina nshomile wanajifanya hawashoboki na wao ni goodlife kumbe cheche kagile.
 
Nimetoka rwanda leo nimerudi tanzania jamani rwanda kuna wanawake kuna wadada wazuri aiseenilienda kikazi ila nitafanya mpango niende kustarehe nile bata huko huku tanzania hamna wadad wowote lazima nikaoe rwanda asee wale wadada wana kila kitu shape sura tabia dah lazima nioe kule kkumbe huku hamna kitu
Wewe nani alikuzaa kama hakuna wanawake?
Acha ulimbukeni wa kitoto
 
Nimetoka rwanda leo nimerudi tanzania jamani rwanda kuna wanawake kuna wadada wazuri aiseenilienda kikazi ila nitafanya mpango niende kustarehe nile bata huko huku tanzania hamna wadad wowote lazima nikaoe rwanda asee wale wadada wana kila kitu shape sura tabia dah lazima nioe kule kkumbe huku hamna kitu

we jidanganye tu kuhusu tabia zao
 
Back
Top Bottom