Nimetoka kusuluhisha ugomvi mkubwa wa Mdogo wangu na mke wake

Mara kwa mara nimekuwa nikipenda kuweka visa vinavyogusa maisha yangu hata marafiki na ndugu zangu ili mpate kitu cha kujifunza hapa

Mdogo wangu wa kiume ana mwanamke ambae alimuowa mwaka 2017, ni binti mstaharabu sana mwenye heshima sana maana hata nyumbani ukweni anapendwa sana na wazee na dada zangu pia,
Bado atavuta bange sasa
 
Pombe , Bangi. Sigara ,Mirungi. Kwa ujumla wake vinasababisha wanaume washindwe kusimamisha mboo. Zikisimama ni legelege, uwezo wa kuhimili tendo unapungua, hamu inapungua , Kiwango cha Shahawa kinapungua, kiwango cha mbengu kinapungua, Saizi ya korodani inapungua,

KWAKUA HESHIMA YA MWANAMKE UNAIWEKA KITAMDANI....

Basi mambo hayo yanafanya mwanamke ama

Akudharau na asikuheshim
Akuchukulie poa kiasi kwamba asijali
WAHUNI WAKUSAIDIE.

Na hata wasipokusaidia, kwakua wee humtombi ,akaridhika, nasasa anakudharau,,, Utaanza kutojiamini. Matokeo yake ni MAWIVUUUUU.

Eeehhh kwan unadhan kwako kafata Kula?kuvaa??Kulala???.,... Hata kwao anavipata.

Kwako kafata MASHINE..
 
Aisee huijui bangi wewe.
 
Mara kwa mara nimekuwa nikipenda kuweka visa vinavyogusa maisha yangu hata marafiki na ndugu zangu ili mpate kitu cha kujifunza hapa

Mdogo wangu wa kiume ana mwanamke ambae alimuowa mwaka 2017, ni binti mstaharabu sana mwenye heshima sana maana hata nyumbani ukweni anapendwa sana na wazee na dada zangu pia,
Sasa msaada mbona hamjautoa hapo ,,,ningekuwa mimi ningehakikisha anabadili tabia kwanza anaachana na hyo mirungi sio rahs lkn njia nzuri zaidi kufanya ibada yani nahakikisha hakosi ibada badae kidogo tabia itabadilika au njia ambayo si nzuri sana ita wanajeshi wale akae ndani mwezi. Mmoja aisee atanyoooka sana ila naogopa kwa mtu mzima njia hii anaweza kurudi na hasira sana ila kwa mtoto mtukutu anayooka vizuri...
 
Sasa msaada mbona hamjautoa hapo ,,,ningekuwa mimi ningehakikisha anabadili tqbia kwanza anaachana na hyo mirungi sio rahs lkn njia nzur zaid kufanya ibada yani nahakikisha hakosi ibada badae kidogo tabia itabadilika au njia ambayo si nzur sana ita wanajeshi wale akae ndani mwezo.mmoja aisee atanyoooka sana ila naogopa kwa mtu mzima njia hii anaweza kurud na hasira sana ila kwa mtoto mtukutu anayooka vzur...
Mzee amekasirika ile mbaya mzee wetu haoendagi masihara ameondoka kwa Hasira
 
Mirungi ina handasi mbaya sana na unatakiwa uwe na pesa addiction ni mbaya sema huyo ashukuru anapata usingizi mi watu nawajua hawana time na mademu wala hawalali kazi kusaga tu

mtu analala saa tisa na 11 yuko macho kuanzia saa nne wako nje wanaita kijamvi vijana wa pwani watanielewa hapo kuna box za Big G na maji ya mabiri di watu wanasaga mpaka saa tisa mbaya sana mtu anakula mpaka ya 15k kwa kweli:oops::oops::oops::oops:pesa hamna ukimka kuna majani kama kuna tumbiri walikuwa wanacheza juu ya mtu

hii imemtia umaskini jamaa yangu mpaka kauza vitu vyake vya ndani hawezi kuacha shavu limekuwa kama kiuno cha boxer:confused::confused::confused::confused: yaani kama mpira ni kubwa mno
 
Pombe , Bangi. Sigara ,Mirungi. Kwa ujumla wake vinasababisha wanaume washindwe kusimamisha mboo. Zikisimama ni legelege, uwezo wa kuhimili tendo unapungua, hamu inapungua , Kiwango cha Shahawa kinapungua, kiwango cha mbengu kinapungua, Saizi ya korodani inapungua,

KWAKUA HESHIMA YA MWANAMKE UNAIWEKA KITAMDANI....

Basi mambo hayo yanafanya mwanamke ama

Akudharau na asikuheshim
Akuchukulie poa kiasi kwamba asijali
WAHUNI WAKUSAIDIE.

Na hata wasipokusaidia, kwakua wee humtombi ,akaridhika, nasasa anakudharau,,, Utaanza kutojiamini. Matokeo yake ni MAWIVUUUUU.

Eeehhh kwan unadhan kwako kafata Kula?kuvaa??Kulala???.,... Hata kwao anavipata.

Kwako kafata MASHINE..
Pombe kiasi kidogo ni aphrodisiac..nyingi kupitiliza ndo yenye shida.
 
kamvumilia miaka 4, pasipo kumfanyia uhuni
Simuwazii mwanamke mabaya ila sitaki nihitimishe kuwa huo ndo ukweli 100% nikilinganisha na maelezo ya mdogo wako.

Kaa na dogo mzungumze kiume, usikute hata chanzo cha mirungi ni mwanamke. Usimchukulie poa mwanamke linapokuja suala la kuwa innocent, wana uwezo mkubwa sana wa kuaminika na kuonekana hawana makosa.

Kitendo cha kuwa na ujasiri wa kusema kuwa haniridhishi na mdogo wako kusema kuwa kwa muda mrefu amekuwa akitaka waachane usihitimishe kuwa dogo ndo tatizo 100%, kama sio kweli kwa 100% mtampoteza mdogo wenu na mawazo.

Mwanamke akipiga yowe ukawa wa kwanza kufika ukamkuta kadondosha chungu huku kajilowesha maji kipande cha nguo yake kikiwa pembeni kabla hujamwinua au kumsaidia na kumuuliza ni nn shida, hakikisha kuna mtu mwingine kafika au mazingira ni salama maana wanaokuja nyuma wanaweza hata wasimuulize shida ni nn wakakuua wewe.
 
Hii kitu kwa sisi wakaayi ni culture
831b125e63db4ce09658e25876ccee1d.jpg

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom