Nimetoka kusuluhisha ugomvi mkubwa wa Mdogo wangu na mke wake

Nmetoka mkoani kuja Dar umma mzima kusuluhisha tu,Allah awajaze kheri lkn hamkusuluhisha Bali mmetenganisha. Hio sio sulhu.
 
Naona bado mmeshindwa mechi na kesi kiboya, hapa mngekubali kuwa haya yote kwa kujana wenu hamkujua na mkwewe ana kosa kwa kutosema haya kwa muda mrefu na matatizo yote. Hapo mngesema mnaomba kuondoka na mke na mumewe mpewe miezi miwili asipobadilika basi watengane. Ni aibu wazazi wa mke kuwa chanzo cha kutenganisha familia na watoto kwa wazazi wao
Baada ya kumchukua anakuwa mfungwa wa kutogusa pombe, mirungi wala ulevi wa aina yeyote, kazi ni kula na kupiga mashine na mentoring parental care. Hapo wanatoka na mimba na watapendana sana
Anyway just my feeling and impression ya kupindua meza,
 
Back
Top Bottom