Joyce_2
Member
- Mar 28, 2020
- 90
- 79
Hivi kutafuna mirungi kuna faida gani, maana unakuta jitu limejaza majani mdomoni kama mbuzi
Hivi kutafuna mirungi kuna faida gani, maana unakuta jitu limejaza majani mdomoni kama mbuzi
Moja ya makabila cjawahi yaelewa ni hawa ndugu zetu warangiAisee pale Kolo - Kondoa hali ni mbaya sana. Nilipita hapo jana karibu kila mtu anakula gomba aka mirungi! Yaan si bodaboda kijana au mzee wote midomo inatafuna vitu!
Itakua aisee maaana kuna vijana wa kirangi hapa muda wote wanatafuna kama mbuziSema veve ukiizoea ina addiction aseee ukifika ule mda wake unapata arosto mbaya mbovu.
Mkuu nyie ni Warangi? Maana hao watu wanapenda sana kuchanja veve/miraa/mirungi/gomba.
Sulhu ni kurudiana tu kumbe?Nmetoka mkoani kuja Dar umma mzima kusuluhisha tu,Allah awajaze kheri lkn hamkusuluhisha Bali mmetenganisha. Hio sio sulhu.
Huwa Nina shangaa sanaHivi kutafuna mirungi kuna faida gani, maana unakuta jitu limejaza majani mdomoni kama mbuzi
Nasimulia Ili ubadilike dogo,Umezingua sana dogo.Daaaah broo mbona mbea hivyo, yaani ndio umeamua kuja kunisimulia huku, acha habari zako hizo, wewe una mambo mangapi mabaya sijakusemea kwa watu?
Njoo tujifunze woteTunajifunza kwakweli
😂😂Unatka kuwasaliti wenzio wasela nondo 😂😂Njoo tujifunze wote
Sio kuwasaliti tu kwa ajili yako nauacha kabisaUnatka kuwasaliti wenzio wasela nondo