Nimetoka kushushiwa matusi makali ya nguoni na binti mbele ya hadhira

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,699
9,778
Ili nalo mkaliangalie,

Baada ya kumaliza karaoke yangu mida ya saa nne, nimekabidhi mic na kushuka jukwaani, ndipo kupiga bia moja tayari kwa safari ya kurejea nyumbani.

Nikiwa njiani karibu na mitaa ya wale dada zetu (ndiyo njia ya kuelekea nyumbani inapopitia) nikamuona binti mdogo mdogo, umri wa form three form four. Kwa mitego aliyoionesha pombe yote imeniruka kichwani, nikajikuta misuli ya mkuyenge inauumiza vibaya mkuyenge wangu.

Huyu binti mweupe, mwenye mtrako wa aina yake na kasura ka kifilipino na mywele zilizochambuka, alivaa kibode cheupe chepesi pamoja na mtandio aliojifunga huku ukionesha vyema mema yaliyomo ndani hasa pindi alipopita kwenye mwanga. Kwa makusudi aliunyanyua ule mtandio kujifutia usoni, ndipo kila kitu kilibaki asalalee!

Ndipo nilipogeuza gia na kumfuatilia nyuma nyuma mpaka mahali penye giza giza ili nitest zari! Baada ya kumuita kama mara tatu bila ya kujibiwa niliamua kumshika mkono, ndipo niliposkia maneno makali kuwahi kutamkiwa yakimfyatuka binti tena hadharani, "we mshenzi, akili yako iko sawa kweli, unanishika unanifahamu, ......... ww".

Ni aibu ya namna yake niliyoipata huku nikisindikizwa na mwanga wa bodaboda kadhaa zilizokuwepo pale huku madereva wake wakiukolezea mwanga ule kwa miluzi ya kila rangi.

Leo nimeingia cha kike, ngoja nilale, ntayajua kesho! Lakini na hili mkalitizame.
 
Kumshika mwanamke sehemu yeyote ya mwili wake bila ya ridhaa yake ni kosa kisheria...

Kifungu cha 138D (1-2) cha Sexual Offences Special Provision Act ya mwaka 1998 kimeenda mbali zaidi na kugusia vitu kama ishara, kumshika mtu kwa nguvu na kupelekea mtu kupata usumbufu.

1662328113580.png
 
Asante mwanasheria
Hapana Dada yangu...Mimi ni Eng kwa taaluma..
Kawaida sheria ni maandiko yaliyowekwa kwa kila mtu kuyapitia na kuelewa..
Nilikuwa na Mjomba wangu(R.I.P) wa la 7b anashinda mahakamani kila siku kufuatilia kesi hata hazimuhusu, kumbe alikuwa mwanasheria by nature, na alikuwa anavijua vifungu kama vyote...ndio alikuwa inspiration kwangu kwamba sio lazima uwe mwasheria kuvijua vifungu, ni wajibu kama hizo sheria zinakuhusu...
 
Kumshika mwanamke sehemu yeyote ya mwili wake bila ya ridhaa yake ni kosa kisheria...

Kifungu cha 138D (1-2) cha Sexual Offences Special Provision Act ya mwaka 1998 kimeenda mbali zaidi na kugusia vitu kama ishara, kumshika mtu kwa nguvu na kupelekea mtu kupata usumbufu.

View attachment 2345971
Hii ni dead law currently.
 
Hapana Dada yangu...Mimi ni Eng kwa taaluma..
Kawaida sheria ni maandiko yaliyowekwa kwa kila mtu kuyapitia na kuelewa..
Nilikuwa na Mjomba wangu(R.I.P) wa la 7b anashinda mahakamani kila siku kufuatilia kesi hata hazimuhusu, kumbe alikuwa mwanasheria by nature, na alikuwa anavijua vifungu kama vyote...ndio alikuwa inspiration kwangu kwamba sio lazima uwe mwasheria kuvijua vifungu, ni wajibu kama hizo sheria zinakuhusu...
Oouh ila nimependa ulivyomjibu ndo maana nikahisi wewe ni mwanasheria
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom