Nimetimiza Post 2000..Je naihitaji kubadilika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimetimiza Post 2000..Je naihitaji kubadilika?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Gembe, Jan 28, 2009.

 1. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2009
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Heshima Mbele,

  Ni post yangu ya 2000 hapa Jamvini,furaha yangu kuu siyo kutimiza post 2000 ila ni mie kutumia muda wangu kuandika na kuchochea maendeleo ya nchi yangu Tanzania.

  Nimekuwa hapa toka sept 2007 ila nimeanza kusoma hapa jamvini toka linaanza na sikuweza kuchangia mwanzoni kwa kuwa nilihisi kuwa hata usemeje serikali yetu haitasikiliza..Ila sas hivi we make the News na siye ndiyo tuliwap Mdomo Mwanahalisi na magazeti yote ambayo hayakuwa na ubavu.

  Toka nimeingia hapa na kukutana na watu kama kada Mpinzani(sijui yuko wapi),FMES,Kichuguu,Mwafrika wa kike,Mzee Mwanakijiji,Mpaka kieleweke,Kitila na invisible nimeweza kufarijika sana na imenijengea uwezo mkubwa kiupeo hasa kwenye siasa.

  Invisible umekuwa Msaada Mkubwa sana hapa Jamvini,nilifurahishwa sana na jitihada zako za wakti ule ukiwapo ogomvi na kina Mushi.Uliweza kusimama kidete

  JF imekuwa ni sehemu ambayo siwezi kuacha kupita,Pamekuwa sehemu pangu pa kuelezea mawazo yangu kuhusu serikali.Nimeweza kusaidia kubadilisha mambo mengi na kuwafikishia baadhi ya mawziri na viongozi wa serikali mambo muhimu
  katika nchi ambayo yamekuwa yakichangiwa humu.


  Tukiendelea kukata ishu naendelea kuwapa moyo wa kufichua makubwa zaidi ya yale ya Buzwagi,ATCL,RDC.
  Nimewez akuchangia thread 729 ambzo zilianzishwa na watu mbali mbali

  Jamboforums/Jamiiforums
  imenipa Moyo sana kwa kulitumikia Taifa langu Tanzania kwa uwazi.

  VIVA JAMIIFORUMS
   
 2. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  I have been in different forums kuanzia Nyenzi.com (kama kuna mtu anakumbuka nyenzi them days) youngafrican sijui tanzanite and now jamii former jambo forums nimeona watu wakiwa wanakosoa sana viongozi na nchi yao na kupiga debe sana...well kuna baadhi ya hao watu waliokuwa wanaendeleza libeneke hilo wapo sasa hivi hukohuko serikalini tena jikoni lakini sioni cha maana wanachofanya...ila walivyokuwa kwenye hizi forums makelele yalikuwa mengi sanaaaa kiasi cha kutupa moyo siye wengine anti-politics..welll so whats the deal of piga tarumbeta hapa then ukipewa huo wadhifa unashindwa kufanya hizo changes...
  ooh yes we can but when you got the opportunity...it tuns to be ooh no we cant...do you really mean it mkiwa mna debate humu au you all seeking for power?.

  Oops and hongera kwa kutimiza post 2000..Psalm 24 inasema Lift up your head all all gates and be lifted up,you everlasting doors and the king of glory shall come in...."so keep your head up
   
  Last edited: Jan 28, 2009
 3. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,527
  Trophy Points: 280
  Congrats for mabandiko yako. Just keep it up the way you are, that is the original you. If you change, you will not be the Gembe we know, you will someone else unless what we have seen here is not the best of Gembe, then you can change for the better untill you reach the best of you.
  Big Up!.
   
 4. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hongera mkuu kwa mabandiko lukuki. Kwani hujabadilika tu?
   
 5. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Hongera sana kwa 2000 posts Gembe!

  Angalau na mimi nazidi kupata uelewa wa kisiasa nchini kwenye mambo mengine ambayo siyajui kupitia JF.

  Bel!
   
 6. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #6
  Jan 28, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hapa umenena mkuu, manake unaweza kutimiza mabandiko 2000, kwa kuweka tu maneno kwenye post kama "nakubali", "sikubali", "hongera" nk. Manake hata hii hongera yangu kwako kwa kutimiza mabandiko 2000, nami inaniongezea mabandiko.

  HONGERA MKUU.
   
 7. O

  Ogah JF-Expert Member

  #7
  Jan 28, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  ...kwi kwi kwi kwi kwi....wee Mfumwa acha uchokozi....kwi kwi kwi

  ........Hongera sana Mkuu Gembe
   
 8. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #8
  Jan 28, 2009
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,927
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  You have said it all Gembe. Hongera mkuu!
   
 9. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #9
  Jan 28, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,637
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 160
  Kelly01... Inshimana Dumisame anakusalimu sana....

  Kamanda Gembe mwendo mdundo....
   
 10. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #10
  Jan 28, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  hahahaha and i miss him so much...hivi yupo wapi?...he was such a funny dude i like his style for

  really!


  BTW...Kule nyenzi kulikuwa na mama mmoja anaitwa Mama Ntilie huyu mama alifanya kazi enzi za nyerere alikuwa so wise na nilikuwa napenda sana kusoma post zake sijui alipoteleaga wapi...Toka nyenzi ifungwe basi sijamsikiaga tena...wale watu wa nyenzi enzi hizo do you have any idea Mama Nitlie yupo pande ipi jamani eeh!?...smart lady she speaks her mind...pOWER To Women!...
   
 11. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #11
  Jan 28, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,637
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 160
  Kheeee heeee kheeeee Eeeh!
  Mama Ntilie aliaga rasmi Nyenzi, nafikili ni wakati ule Nyerere(RIP) alipolazwa kule UK...Nilikuwa napenda siku akibishana na Mdosi Mzalendo au akipambanua issue na Nkwera...

  Well Dumi alibanwa na Thesis na ndio ukawa mwisho wake pale YA.... BTW Blingbling anakupa Hi!...
   
 12. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #12
  Jan 28, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Hahaha eeh ile ilikuwaga kasheshe mdosi akianza kumchachafya mama Ntiliye...Nasikia mdosi mzelendo alikuja kurudi bongo yule muhindi alikuwa machachari sana haha Father Nkwera where is he?..duuh those were days...

  Blingbling nakutanaga naye msn tunampango wa kushuka wote bongo this summer..her bro is getting married ila sijamsikia karibu mwezi sasa..mmh mna-keep intouch na bling?impressing..haya Kibs confession!!!...

  yaani Dumisane bado anafanya thesis mpaka leo?...hebu mwambie aje mwambie nimemiss sana m2wangu...LOL!
   
 13. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #13
  Jan 28, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  amepanda cheo.. siku hizi ni Bibi Ntilie na ni mwanachama mwenzako hapa..
   
 14. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #14
  Jan 28, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Are serious cuzin?...kumbe yupo humu?...

  heeeeeeeey Mama Ntiliye AKA Bibi Ntiliye...shikamoo sana sana.
   
 15. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #15
  Jan 28, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,637
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 160
  Yeah... nipo in touch na Blingbling, ila Dumi nimepoteza mawasiliano nae...
   
 16. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #16
  Jan 28, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Bling bling is my girl a while back nilikuwa najaribu hook her with my cuzin mwanakijiji but it didnt work out si unajua bling mtoto wa mjini na my cuzin ni conservative so it didnt work out....LOL!
   
 17. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #17
  Jan 28, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Thread imeshatekwa....na hawajaingia NN na YNIM
   
 18. Kuntakinte

  Kuntakinte JF-Expert Member

  #18
  Jan 28, 2009
  Joined: May 26, 2007
  Messages: 704
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hongera sana mkuu
   
 19. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #19
  Jan 28, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Congrats and thanks for changing ur previous avatar!
   
 20. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #20
  Jan 28, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Just curious...is this kuntakinte AKA Mtumwitu?....no offense just asking.
   
Loading...