Nimetimiza miaka 27, hivi ni vitu kadhaa nilivofunzwa na maisha

Uko sahihi kwa kutambua hayo mapema...so ishi kadiri ya vipawa ulivyobarikiwa kuwa navyo, usilazimishe kuishi kama wengine.

Watu wote tumezaliwa sawa sema mazingira yanatufanya tutofautiane kutokana na tunayopitia baada ya kuzaliwa..... Mtoto wa mkulima na mtoto wa mfanyakazi ni lazima watofautiane makuzi, hapo ndipo tunapoachana..so wakikutana ktk Maisha ndio utaona Maisha hayana usawa..huenda mmoja akakulia mashambani zaidi na wa mfanyakazi kakulia shule za kata...kila mmoja anapitia magumu na mepesi ktk njia tofauti..

Mafanikio hayalazimishwi ni Mipango tu ..

Kila mtu ktk nyanja tofauti anaweza kufanikiwa kadiri ya alivyopanga Mambo yake ktk mazingira yake...

Dunia iko sawa na watu wake wako sawa....mazingira ndio yanayotutenganisha na kupatkana wabaya na wazuri...ila kufanikiwa ni kufanikiwa hakuchagui wabaya wala wazuri bali Mipango na kile unachopitia ktk kuishi......ndipo zilipo tofauti zetu.

Kuishi kwingi ni kuona mengi at age of 27 Hongera kwa kuona hayo...Safari ya maisha ni ndefu kufa ni sehemu ya maisha....wabaya na wazuri wote wanakufa...kutengeneza Mipango ya kufanikiwa ktk maisha ni muhimu....ama ufanikiwe au usifanikiwe....usikate tamaa angali bado unapumua....

Matajiri wakifa na kuacha Mali zao kusikufanye usitafute utajiri eti sababu ipo dakika utakufa.....Kamata fursa kadiri zinavyojitokeza hata kwa kifo, kama utarithi mali za tajiri, ziendeleze maisha ni mzunguko...
Nakubaliana na ww mkuu,asante
 
Back
Top Bottom