gnassingbe
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 4,826
- 3,572
Wapi kaonyesha kukata tamaa!Acha kuongopa na kufikiri hivyo!Mkuu mbona ni kam
MKUU MBONA NI KAMA UMEKATA TAMAA NA MAISHA.
Wapi kaonyesha kukata tamaa!Acha kuongopa na kufikiri hivyo!Mkuu mbona ni kam
MKUU MBONA NI KAMA UMEKATA TAMAA NA MAISHA.
How old are you beautiful?Happy 27yrs on Earth
Huyo maisha na Mimi muelekeze aje kwangu anifundishe baadhi ya vitu.
Ndo maana nikasema hivi ukisoma vizuri kwa makini inaonekana hela huna mkuu...haijalishi nani anakuona una hela au hauna...Inategemea mkuu,huyu bodaboda wangu ninayemkodi kwenye mishe zangu ananiona boss,ananiheshimu na ananiona nimeyapatia maisha,ananiita "mshua" lakini sehemu nayofanya kazi naonekana sina kitu,nikila nao chakula silipi,wananiona sina pesa na nikikaa nao nawaona wao washua,nawaheshimu na naona wameyapatia nawaita "boss".
Ndo maana nikasema hivi ukisoma vizuri kwa makini inaonekana hela huna mkuu...haijalishi nani anakuona una hela au hauna...Inategemea mkuu,huyu bodaboda wangu ninayemkodi kwenye mishe zangu ananiona boss,ananiheshimu na ananiona nimeyapatia maisha,ananiita "mshua" lakini sehemu nayofanya kazi naonekana sina kitu,nikila nao chakula silipi,wananiona sina pesa na nikikaa nao nawaona wao washua,nawaheshimu na naona wameyapatia nawaita "boss".
JamaniNdo maana nikasema hivi ukisoma vizuri kwa makini inaonekana hela huna mkuu...haijalishi nani anakuona una hela au hauna...
Mkuu wewe unakaa dunia gani...Unapoambiwa kuwa mtu mbaya hafanikiwi maana Yake Ni kuwa mafanikio Yake huwa hayadumu.Angalia mabilionea mafisadi Sasa hivi wanavyohaha na biashara zao kufa.issue SI time kufanikiwa je hayo mafanikio Ni ya kudumu?
Ni kweli...jamaa angu kaoa house girl akidhani kapata mke...sasa analalama tu kuhusu huyu mke house girl...anapikiwa na kufuliwa vizuri tu, mengine Asha ngedere ana nafuu na ubabe wake...so uko sahihi...kuna mme na mabaharia wanaofanana na mme...Maisha ndivyo hayo ni kawaida tuEverything is fact ,wabongo hua hawakubali ukweli hapa nilipo nimesoma Nina kazi but sina mume lakini house girl was jirani hajui hata kurudisha change dukani ameolewa na ndoa juu so,nakubali huwezi lazimisha kupendwa and all the other things coz bado kuna watu wapowapo Tu but they have what l don't have.
Uko sahihi kwa kutambua hayo mapema...so ishi kadiri ya vipawa ulivyobarikiwa kuwa navyo, usilazimishe kuishi kama wengine.
- Maisha hayana usawa na wala hatujazaliwa sawa
- Watu wabaya wanafanikiwa maishani-tunapokuwa wadogo tunaaminishwa kua watu wazuri ndio wanafanikiwa maishani na watu wabaya hawafanikiwa,lakini kiuhalisia watu wabaya wanafanikiwa vizuri tu na ukiw ana pesa na nguvu unaweza ukafanya chochote na usifanywe kitu.
- Kifo kinakuja bila hodi-dakika moja unaongea na mtu freshi tu dakika nyingine kishafariki..goodbye forever pesa ndio kila kitu
- Maisha yako sio mabaya kama unavofikiri acha kulalamika na shukuru-kama una afya njema,unalala salama na kula acha kulalamika lalamika kuhusu maisha yako sijui mapenzi,sijui mtu fulani hakupendi.kuna watu wanamaisha mabovu zaidi na wanatamani wawe kama wewe
Unaweza ukafanya kila kitu vizuri na bado ukafeli-watu wanasema sijui ukifanya kazi kwa bidii utapata chochote unachokitaka-sio kweli watu wangapi wanafanya kazi kwa bidii na wanafeli? Unaweza ukawa mume/mke mzuri tu na bado mtu akakusaliti unaweza ukampa mwanao kila kitu ukamlea vizuri ila akaishia kuharibu maisha ya sio kila kitu utafanikiwa hata ujitahidi vipi Mapenzi pekee hayatoshi kuendesha mahusiano-mnajifanya mnapenda sana,mnaona kupendana kwenu mnaweza kuovercome kila kitu..pole sana when shit hits the fan ndio mtajua kua mapenzi pekee hayatoshi kuendesha mahusiano Its not what you know,its who you know People will judge you based on your appearance- muonekano una matter hata uwe na personality nzuri watu wataanza kujudge muonekano wako.kuna favour utazipata kutokana na muonekano wako..hii kwa wanaume na wanawake Huwezi kumfanya mtu akupende