supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,451
- 10,933
Hongera sana, miaka 10 kwenye ndoa sio mchezo
Mrembo/mchumba coco hivi kiswahili ni lugha yako ya ngapi kutumia katika mawasilìano yako?
Happy unniversary
Hongera sana, miaka 10 kwenye ndoa sio mchezo
Coco baby hongera sana nakupenda
Nna zawadi yako nzuri ntafute nkupe najua utaifurahia milele!
Alafu Fungua pm yako basi
Ova
Umewahi kupigwa burn ngapi kwa miaka iyo kumi.
Sometimes unatoa mashudu, sometimes point, uzuri huna chuki na mtu hata ukitukanwa
Tatizo hatuoni muda huo ukiakisi ukomavi wako ,huwa unatema mashudu
Ya kwanza ni kifaransa sio?Ya pili
Ya kwanza ni kifaransa sio?
Kuna mtu nilisikia akisema wewe ni mhutu au mtusi ni kweli?
Ha ha haaaaaa
Miaka yangu kwenye ndoa imezidi ya humu JF
Njooo tulewe woteIandike humu naona mwaka unayoyoma sasa.. eeeeeeh
nini hizo mkuuNa wewe hizi bado zinakufaa 💉💉💉
Kumbe coco umeolewa tayari? Sasa mbona wewe na wenzio mnataka Mbowe awaoe tena na haruhusiwi kuoa mke zaidi ya mmoja?
Njooo tulewe wote
Ila nakupa pongezi mdg wangu kwa kukaa jf muda huo
Najua tunatofauti za itikadi ila tko pmja
Ova
We mdg wangu/shemeji yanguHa ha haaaaa
Eti mdogo wako eeeeeh
Babu kwani wewe???
We mdg wangu/shemeji yangu
Acha jeuri na dharau
Ova
Jf wee tu wngine jf mbn tu najua naAwuuuuuu eti shemeji sasa eeeeh
Maisha ya JF eeeeeeh