Nimetimiza miaka 10 kama member wa JamiiForums

cocochanel

Platinum Member
Oct 6, 2007
26,766
73,433
Ni uamuzi mgumu ila imenibidi niamue kufanya haya kwa sababu namshukuru Mungu kuwa nipo hai leo hii na kuweza kuandika haya humu kwenye jukwaa hili la Jamii Forums aka Jambo Forums( enzi hizo)

Basi nawaomba msherekee nami leo as jana tarehe 6 nimetimiza miaka 10 kama memba na 11 hivi kama msomaji.

Ukitaka kunipa zawadi tafadhali wapelekee watoto yatima na wazee uwasaidie wao na mimi nitafurahia. Ukikazania unataka kunipa mimi basi itabidi niwe hamisa kidogo:D utoe kuanzia 5m.. ha ha haaaaaa..

Najua mnanipenda sana wengi wenu humu.:p Karibuni hapa ninapoishi mji wa RC mpendwa tusafishe mazingira ya maeneo ninayoishi au safisha huko kwako ulipo. Baadae kupunga upepo Coco Beach..

Uamuzi ulikuwa mgumu kweli mimi kuandika haya kwenu;)... ha ha haaaaa eeeeeeh:D:D:D:D

Wakumbuke Wazee na Watoto yatima. Miaka '10' ya Cocochanel.. Jamii Forums izidi kubarikiwa.. bado nafikiria cha kujibadili humu.. kuwa verified hiyo big NO.. Mods naomba mnikumbushe jinsi ya kuchangia humu nijiongeze kwenye umemba wangu.

..lazima nimalizie hivi:)
Makonda oyeeeeeee
 
Hongera cocochanel, natofautiana na wewe mambo mengi sana kiitikadi, ila nachokupendea huwa hutukani licha ya kutukanwa sana na wengine...ila hapo nimeshindwa kukuelewa uliposema ni maamuzi magumu umechukua....maamuzi gani?
 
Yan we kwa misifa ya ajabu haujambo, hivi umewahi kuwehuka ukapona et ee!! Acha misifa ya ajabu ajabu we lizee!!
 
Ni uamuzi mgumu ila imenibidi niamue kufanya haya kwa sababu namshukuru Mungu kuwa nipo hai leo hii na kuweza kuandika haya humu kwenye jukwaa hili la Jamii Forums aka Jambo Forums( enzi hizo)

Basi nawaomba msherekee nami leo as jana tarehe 6 nimetimiza miaka 10 kama memba na 11 hivi kama msomaji.

Ukitaka kunipa zawadi tafadhali wapelekee watoto yatima na wazee uwasaidie wao na mimi nitafurahia. Ukikazania unataka kunipa mimi basi itabidi niwe hamisa kidogo:D utoe kuanzia 5m.. ha ha haaaaaa..

Najua mnanipenda sana wengi wenu humu.:p Karibuni hapa ninapoishi mji wa RC mpendwa tusafishe mazingira ya maeneo ninayoishi au safisha huko kwako ulipo. Baadae kupunga upepo Coco Beach..

Uamuzi ulikuwa mgumu kweli mimi kuandika haya kwenu;)... ha ha haaaaa eeeeeeh:D:D:D:D

Wakumbuke Wazee na Watoto yatima. Miaka '10' ya Cocochanel.. Jamii Forums izidi kubarikiwa.. bado nafikiria cha kujibadili humu.. kuwa verified hiyo big NO.. Mods naomba mnikumbushe jinsi ya kuchangia humu nijiongeze kwenye umemba wangu.

..lazima nimalizie hivi:)
Makonda oyeeeeeeee
Miaka 10 jamii forum hujasaidia chochote kuboresha jukwaa letu, tabia za ccm zinafamika wewe hata ukipewa miaka 50 mingine hutafanya lolote kuipaisha JF, kwa majibu ya ccm utasikia wewe umefanya nini, jibu hoja
 
Back
Top Bottom