Uchaguzi 2020 Nimetia nia kesho nitamkuchulia fomu ya kugombea Urais Zanzibar, Sheikh Mselem kupitia CHADEMA

Naam nishafika viunga vya ofisi kuu chadema znz.

Nimeambiwa mchakato rasmi wa chama wanafungwa Leo. Hata hivyo mchakato huu ni wa ndani ya chama tu. Hivyo milango iko wazi kwa kundi lolote la jamii linaloamini linanyimwa haki kwa sababu ya muonekano wao au kwa sababu ya kabila yao, au kwa sababu ya rangi zao na wanahiso wana kura ya turufu, na wanahitaji maslahi yao yasikizwe. CHADEMA iko tayari kuwapokea na kuungana nao kwa nia ya kuondoa uovu uliopo.
Mwenyezi Mungu na waungwana, shetani na wahuni.

Akubariki yeye aliye juu ya vyote! Una support yetu wapenda haki wote wa Tanzania
 
Stay Tune,

Tayari tumekutana na viongozi wa jamii.

Uzuri wa awamu hii tunaambiwa na viongozi wetu tumtamgulize Mungu.

Hivyo Usiku wa Leo kutakuwa na dua ya kutaka Ushauri Mungu wetu.

Vikao rasmi vitaendelea kesho tukijaaliwa
Shukran lake... Allah akulipe kheri inshaAllah!!
 
Back
Top Bottom