Nimetia mguu A town

mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
34,046
61,369
Jamani mji huu unameremeta na wachumba nao ndii usiseme. wana arusha nimeingia mujini sasa kwa yoyote anayetaka kugegedana plz find me hapa annex arusha by night.

Wanawake tu!
 
jamani warembo wa arusha jamani jitokezeni basi....
 
jamani mji huu unameremeta na wachumba nao ndii usiseme. wana arusha nimeingia mujini sasa kwa yoyote anayetaka kugegedana plz find me hapa annex arusha by night. wanawake tuu!!

mzabzab kwanza tukate radhi kwa kusema unataka wanawake wa Arusha ni maji mara moja.

Pili umeingia mji wa watu hebu kuwa na heshima kwa wakubwa zako.
 
Last edited by a moderator:
mzabzab kwanza tukate radhi kwa kusema unataka wanawake wa Arusha ni maji mara moja.

Pili umeingia mji wa watu hebu kuwa na heshima kwa wakubwa zako.

sasa kwani nimesema mademu wa a town maharage ya mbeya....no bana mie nachosema ni kwamaba nataka pata gud tym na wanawake wa hapa a town...wanaweza wakawa expensive na hard to get pia. lol
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli, kuna haja ya kuwa wakali kwa watu wapuuzi kama hawa, Preta hebu ita ile group la mkodobwe lije kufanya kazi yake.

Jamani mpokeeni mgeni huyo asije opoa chokoraa likamwachia chupi tu guest
 
Last edited by a moderator:
kumbe kweli...mijitu ya meru sio frendly kabisa ....haya bwana wacha nitulie zangu hapa mrina bar.
 
kumbe kweli...mijitu ya meru sio frendly kabisa ....haya bwana wacha nitulie zangu hapa mrina bar.

Hapo hapo panakufaa, endelea na mawindo utawin tu, kama unategemea JF Member aje hapo jua imekula kwako, the only reason huna adabu.
 
kumbe kweli...mijitu ya meru sio frendly kabisa ....haya bwana wacha nitulie zangu hapa mrina bar.

Usivyo na haiba...uko mrina bar...nafikiri hata huko Dar una shinda kwa sokota..kimboka and the like...cheap you are.
 
Hapo hapo panakufaa, endelea na mawindo utawin tu, kama unategemea JF Member aje hapo jua imekula kwako, the only reason huna adabu.

Umeona eeeeh...kafikia annex by night..halafu yuko mrina bar...huyu sio mkuu
 
Back
Top Bottom