Nimethibitisha kuwa ni kweli!

Baada ya post mbalimbali hapa jf kuhusu wanaume wa Dar nimeamua kuja kujionea mwenyewe kama ni hadithi za kutungwa au ni kweli!90% ya post zinazosema mwanaume wa Dar ni lege lege ni kweli kabisa!
Hahahahaaaaaa!!!!!!Matusi yanewazidi kila kitu wanaume wadar hadi kero
 
Wanaume wa Dar ni shida mkuu!!
 
Attachments

  • IMG_20171108_185955_249.JPG
    IMG_20171108_185955_249.JPG
    27.1 KB · Views: 44
Baada ya post mbalimbali hapa jf kuhusu wanaume wa Dar nimeamua kuja kujionea mwenyewe kama ni hadithi za kutungwa au ni kweli!90% ya post zinazosema mwanaume wa Dar ni lege lege ni kweli kabisa!
Umethibitisha wanakwenda dakika ngapi kwa round moja?
 
waacheni marioo wetu jamani mbona kuwasakama, wenyewe tushawazoea love story nyingi vitendo ndoho
 
Back
Top Bottom