Nimetengeneza video ya intro ya wordpress

Habari wanaIT nimetengeneza video ya wordpress kama introduction kwa ambayo ni beginners ila nitaendelea kwa level zingine kwa wale beginners wasonge kwenye level ya intermediate. Pia ntatengeneza video za joomla.

Karibuni tujifunze web.

Asante
 
Safi sana!! Mimi nna ushauri!!

Kwanini usingeweka na sauti?? Yani uwe unaelezea wewe kuliko kuandika??
 
Habari wanaIT nimetengeneza video ya wordpress kama introduction kwa ambayo ni beginners ila nitaendelea kwa level zingine kwa wale beginners wasonge kwenye level ya intermediate. Pia ntatengeneza video za joomla.

Karibuni tujifunze web.

Mkuu ipo poa sana..

Nilelekeze ulivofanya ku record hiyo video wakati ina type pia is it a screen shot?

Thanks in advance
 
Back
Top Bottom