Nimetengeneza katuni ya tangazo la tigo.. Nimeishia mapokezi!

XOXOQY

Senior Member
Feb 7, 2011
172
36
I have made a graphic video cartoon for Tigo, thinking that they will love it and use it. But it was different when i visited their office, I met with receptionist and i told her what I brought them.

She simply answered "We dont accept advertizment ideas from individuals we have our own expert who deals with such thing"! But WHY? Dont you know that sometime those you call individuals we have good ideas than that of your experties!
simple advice to you Tigo and such of your kind JARIBUNI KUTANUA UWANDA WA MAWAZO YA KIMATANGAZO ILI
MUWEZE KUSHINDANA VIZURI KATIKA BIASHARA YENU.....DO NOT BE CONSEVERTIVE!

You can watch my made cartoon video here
 
kaka watafute hao expert wao ndo watakao inunua na kisha kuipresent kwa kampuni kama ubunifu wao
lakini pia wenda inamaanisha nini mie nimeicheki "good work" ongeza juhudi!
 
Hukutakiwa kumwelezea mtu wa mapokezi, cha msingi ilikuwa wewe kuomba kuonana na meneja wa marketing au mtu ambaye angekupa jibu linalo ridhisha we ndo ulie haribu, sikuingine angalia muhusika. Mapokezi kaziake ni kukupokea na kukupeleka sehemu husika na si kukupa jibu la mwisho.
 
Nenda kwenye wall yao ya fb andıka hapo wıth 5mıns lazima watakujıbu,fanye hıvyo alafu ulete jıbu.
 
Kazi Nzuri ila sio lazima Tigo tu. Mm nakupa kazi ambayo nitakulipa hela yeyote unayotaka.
Tengeneza Katuni ya kikwete akihutubia Jangwani mara ghafla akapata kizunguzungu akapiga chini.
Ni-pm kwa maelewano.

Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
 
Nenda kwenye wall yao ya fb andıka hapo wıth 5mıns lazima watakujıbu,fanye hıvyo alafu ulete jıbu.

Huu ushauri wako mzuri.
Na kam walivoymshauri wadau amekuwa mwepesi kupewa majibu reja reja na mtu wa mapokezi kuliko kupoteza nguvu zake kwenda ofisni yao bora hata agenaza kupiga simu kuulizia wahusika wa mareketing na kuwajua kwa majina.( Meneeja, au directr au hata wafanyakazi wa kwaida kitengo cha marketing).Ni bora uchomolewe lakini uchomoloewe na muhuisika. Hiyo ni Miliestone

Vile vile japo sio mtaalam wa graphics nadhani rangi alizotumia haziendani endani sana na Tigo
 
i have made a graphic video cartoon for Tigo,thinking that they will love it and use it.
But it was different when i visited their office,i met with receptionist and i told her what i brought them.
she simply answered "we dont accept advertizment ideas from individuals we have our own expert who deals with such thing"!
but WHY?dont you know that sometime those you call individuals we have good ideas than that of your experties!
simple advice to you Tigo and such of your kind JARIBUNI KUTANUA UWANDA WA MAWAZO YA KIMATANGAZO ILI
MUWEZE KUSHINDANA VIZURI KATIKA BIASHARA YENU.....DO NOT BE CONSEVERTIVE!

You can watch my made cartoon video here

Hebu weka tena hii video haionekani banaaaaaa.
 
Kazi Nzuri ila sio lazima Tigo tu. Mm nakupa kazi ambayo nitakulipa hela yeyote unayotaka.
Tengeneza Katuni ya kikwete akihutubia Jangwani mara ghafla akapata kizunguzungu akapiga chini.
Ni-pm kwa maelewano.

Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

Mimi nitaongeza $10000 akikamilisha kazi hiyo!asisahau glass ya maji na glucose pembeni
 
Huu ushauri wako mzuri.
Na kam walivoymshauri wadau amekuwa mwepesi kupewa majibu reja reja na mtu wa mapokezi kuliko kupoteza nguvu zake kwenda ofisni yao bora hata agenaza kupiga simu kuulizia wahusika wa mareketing na kuwajua kwa majina.( Meneeja, au directr au hata wafanyakazi wa kwaida kitengo cha marketing).Ni bora uchomolewe lakini uchomoloewe na muhuisika. Hiyo ni Miliestone

Vile vile japo sio mtaalam wa graphics nadhani rangi alizotumia haziendani endani sana na Tigo

IT IS NOT FIXED IT CAN BE EDITED,and thanx kwa ushauri pia tupo wote!
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom