Nimetengeneza katuni ya tangazo la tigo.. Nimeishia mapokezi!

Inaonyesha kuwa u'creative, kaza buti ndugu yangu, endeleza hiyo interest with more sample/demos na kuangalia other creatives wanavyofanya kazi zao... Pia inaonekana kuwa upo upande wa motion graphics (if that is the irght term) kwa hiyo angalia software na systems zinazotumika.
Kama Nkosi alivyo suggest, unaweza kuanzia kazi za kujituma (creative common licensing) na hapo utajenga jina pia. Where at all possible collaborate with other in your production process...

See
blender.org (free software 3D)
pencil www.pencil-animation.org/ (free 2D)
Synfig synfig.org/ (free 2D
AnimeStudio Anime Studio Animation Software - Official Website (Commercial/Trial license) <---- Anza na hii...
toonboom.com (commercial 2D, 30 days trial)

When you ready, then, take on the storyboard ambayo VoiceOfReason amekupa. Hiyo ni full production quality storyboard...
 
Wewe ndo umekosea, hauwezi kushow up to kwenye kampuni ukataka kuonana na mtu papo hapo, ungefanya apointment kwanza ndo ungekuja.

Pili hilo tangazo mimi halijanivutia kabisa samahani ila naona niwe mkweli, kwanza sioni ni la Tigo kivipi? Litamvutiaje mteja kuchagua Tigo badala ya Voda etc?
Na animation yenyewe sijavutiwa nayo,haliko kwenye kiwango cha tangazo la kampuni.

Ni vizuri kuwa unajifunza animation ila nadhani una miaka kadhaa ya kujifunza kabla ya kuwa na uwezekano wa kufikia viwango vinavyotakiwa, so focus kwenye kujenga skills zaidi.
 
Wewe ndo umekosea, hauwezi kushow up to kwenye kampuni ukataka kuonana na mtu papo hapo, ungefanya apointment kwanza ndo ungekuja.

Pili hilo tangazo mimi halijanivutia kabisa samahani ila naona niwe mkweli, kwanza sioni ni la Tigo kivipi? Litamvutiaje mteja kuchagua Tigo badala ya Voda etc?
Na animation yenyewe sijavutiwa nayo,haliko kwenye kiwango cha tangazo la kampuni.

Ni vizuri kuwa unajifunza animation ila nadhani una miaka kadhaa ya kujifunza kabla ya kuwa na uwezekano wa kufikia viwango vinavyotakiwa, so focus kwenye kujenga skills zaidi.

u're right,thanx anyway!
 
Problem ya watu wa mapokezi bwana wanakuwa na majibu ambayo hata mabosi wao hawayajui
 
yes kama walivyochangia wadau
Technically inagawa si mtu wa graphic kama nilivyosema tangazo lako halina viwango. lakini Idea au concept yako uliyonayo nayo ndiyo inaweza kukusaidia. Sasa sijui zaidi ya Hii technical presentation unatakiwa uwe domcentation ya japo page mbili kuelezea .
  • Nini ulifikira
  • Nnini unataka kuiwasilisha
  • kwa nini umechagua sungura na apple
  • umegundua kuna kasoro gani kwenye matanagzo yao mengine. Kitu amabacho tangazo lako lin cover
Mind you sio mtaalam inawezekana docuemention ya graphics ikahtaji mambo tofauti au zaidi ya niliyotaja

Maana More than 60% Tangazo lako kama lilivyo linaweza lisikubalie lakini concept nzima na idea inaweza kuwasawishi watafute wataalmau zaidi waifanyie kazi. Kwa case hiyo unaweza kukatiwka mshiko kidogo au kuunganishwa na ma agent wao advert ili idea yako ifanyiwe kazi chini ya wataalam. ambayo pia utafaidika kielimu na kimshik pia.......

So any serious project inabidi iwe na documentation. So na wewe zaidi ya ya hiyo clip hakikisha una documentation. in mnimum documeation inataiwa ijubu swali WHY unadhani inawaafaa wao TIGO..... na litapokelewa na watu vizuri
katika dumentationyako unaweza kusema
  • zaidi ya kueleweka kwa watu wakubwa carttoon zitawavuta watoto so Tigo haiwawekezi kwenye present tu inawekeza hata wenye future pia. Kwa watoto cartoon zina mvuto.....
  • Halina cost kubwa ya kuwatumia Model
  • Kama ulivysoema linaweza ku developed as time goes na kubadilishwa kwa cost ndogo.....
  • Watazamaji watalezwa ni wazo la mteja kutokana na experince yake sio wazo la watu wa masoko . kiitu amabcho ni cha kweli na si sifa ya matangazo mengi. Matangazo mengi ni product nna idea za watu wa maretting
  • And you can go on and on

Otherise nakushauri pia atika trial zako kama hii n fani yako
Huyo sungura mtenngenezee hadithi ile ya SUNGURA na SIZITAKI MBICHI HIZI. Kama hukusoma kitabu cha tujifunze lugha yetu darasa la tau kitafute soma shari lile litengeee cartoon yake then peleka kwa watu wa television (ITV. TVT. Star TV) pia. Kweye cartoon za watoto makosa madogo madogo nadhani yanakubalika kuliko kwenye haya makampuni.

Ukiatafuta pia hadithi za wanyama wengine kwenye vitabu vyetu vya kitanzaia unaweza kuja na carton za kitanzania za kiswahili kibao. Concept za TINGA TINGA wa tanzania mpaka leo zinatumika kweneye cartoon za ulaya nadhani hata bBC wanazitumia kweye vipindi vyao vya watoto. lakini sijawai kuona cencept zile za TINGA TINGA kwenye kiswahili kwenye TV yeyote Tanzania.
 
Kazi nzuri lakini nafikiri unajitahidi kufanya kazi zaidi kwa lile

Lile halijavutia vya kutosha nadhani, na hata story haiweleweki kirahisi nadhani kwa sababu hukutumia rangi za kampuni kama walivyoelekeza wengine.

Jaribu kutengeneza version tofauti tofauti za ile katuni na story line ifanane tuone tupate kuchagua lililovutia zaidi
 
wale kina dada wa mapokezi ni nyodo hawana jipya wale.....
Mara nyingi akina dada wale interview zao zinafanyika kwenye...........eh nisije pigwa ban,sana sana atpelekwa asomee english course vijana hostel kwa ajili ya kusema welcome pleas haha haha
 
Kaka fuata kama t&#305;go wanavyokuamb&#305;a kwnye Wall yao ya fb.
 
Mara nyingi akina dada wale interview zao zinafanyika kwenye...........eh nisije pigwa ban,sana sana atpelekwa asomee english course vijana hostel kwa ajili ya kusema welcome pleas haha haha

Lakini kumbukeni hawa ni dada zetu au ndugu zetu . Na wanaowafanyia hizo interview unazosema wanaweza kuwa ndio wewe na mimi na yule . Teh the teh.

Kwa hiyo tatizo ni kubwa zaidi ya masecretary. Mimi naamin hao masecreatary wachache ni effect ya problem lakini sio TRUE PROBLEM
 
Lakini kumbukeni hawa ni dada zetu au ndugu zetu . Na wanaowafanyia hizo interview unazosema wanaweza kuwa ndio wewe na mimi na yule . Teh the teh.

Kwa hiyo tatizo ni kubwa zaidi ya masecretary. Mimi naamin hao masecreatary wachache ni effect ya problem lakini sio TRUE PROBLEM

that's true man
 
bwana kwanza nakupongeza kwa kuingia katika fani ambayo ni ngeni hapa tanzania pili kudhubutu kuwakilisha kazi , mimi pia nimetengeneza "kitu" na nikawakilisha kwa walengwa kweli wameipokea kwa mikono miwili acha bwana nilijisikia vizuri na mpaka sasa najisikia vizuri kazi yangu ya kiubunifu ya teknolojia hii ambayo pia ni ngeni "kwani kazi zinazojulikana sana bongo kwa kutumia computer ni text editing, video processing, na kazi yeyote ambayo inachukua mda mfupi kumaliza na kupata pesa" lakini sasa kitu pesa imekuwa ngumu sana lakini nikuambie kitu sijakata tamaa na naomba usikate tamaa endele kutengeneza animations nyingi kuna siku utafanikiwa mimi
kazi ambayo unaona watu hawazithamini kwa sasa kesho watalazimika kujifunza kutoka kwako ila for one condition never give up. tanzania ya sasa ili ibadilike inahitaji watu kama wewe.
 
kaka nmeona kazi yko! we mkalir! great idea! but not very good work, inaonekana bado mwanafunzi, kuna realistic fulan znakosekana: huo mluzi urkebishe! huo mti hauko sawa kwenye frames zote (tunda na matawi vinaonekana sehem tofauti katika same front view), sungura wanakuwa wakubwa baada ya kuinuka! sungura anavyorukia tunda shape inabadilika na kuwa kama ya swala! tunda linakuwa dogo linavyotunguliwa na sungura... a lot of stuff needs 2 b re-edited man!!! just keep on training urself.... one day u wil get thr, dont rush!!! i know u have used a lot of time, but that is how animation years... peaople spend about 4 years to design 1.5 hrs animation movies!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom