Nimetengeneza game yangu ya kwanza - Android

Umefanya kitu cha kawaida na kuombea uzidi kuwa developer mkubwa ubarikiwe.mkuu nakushauri pia na apps nyingine.. Na mimi Nataka unitengenezee app yangu ni cheki wasap Kwa 0653610047
 
Hatua nzuro kwa kuanzia ila inabidi uiboreshe kama fetures za kuendesha gari kwa kutumia simu motion ya simu, pia unapotaka ku exit basi kuwe na option ya kuuliza kama ipo sure unataka kuexit maana mtu aweza exit bahati mbaya.

Endelea zaidi hadi uinoreshe zaidi 3D nk

Heko kwako!!

App gani nyingine umeshafany?
 
Nimeanza kujifunza game development na hii ni game yangu ya kwanza. Tafadhali ipakue play store na unipe maoni

Endless Speed Racing 2D - Android Apps on Google Play
Hongera sana mkuu kwa kupiga hatua za mwanzo kuelekea kua bora.

Maoni yangu ni kama end user, Hili game Halitashinda taji la dunia ila kama unahitaji kitu cha kufanya wakati uko free hili game linaweza likajazia hiyo free time. Kwa tuliokulia enzi za brick game hili game ni very comforting linatukumbusha enzi hizo.

Huko mbele kama utaendelea kuidevelope, itapendeza kama utaweka hata challenges ambazo mtu akizifikia anapata kitu.
 
Hatua nzuro kwa kuanzia ila inabidi uiboreshe kama fetures za kuendesha gari kwa kutumia simu motion ya simu, pia unapotaka ku exit basi kuwe na option ya kuuliza kama ipo sure unataka kuexit maana mtu aweza exit bahati mbaya.

Endelea zaidi hadi uinoreshe zaidi 3D nk

Heko kwako!!

App gani nyingine umeshafany?
Nashukuru sana, ntalifanyia kazi na hilo
 
Back
Top Bottom