King Loto
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,573
- 1,344
Ukiona fursa inakufuata ujue wewe ndio fursa yenyewe.Kweli mkuu Betting ni Ujinga sanaaa...
Ukiona fursa inakufuata ujue wewe ndio fursa yenyewe.Kweli mkuu Betting ni Ujinga sanaaa...
Unatumia app gani.kubeti?Sijawahi kubeti kwa mhindi
Mzee emu nipe dondoo za biashara ya mgahawa ikoje boss nawish ningekuwa dodoma ningekutembelea iyo pia faida si ipo....au ukilala na chakula ndio issue au pesa inaishia kulipa wafanyakazi na kodi ya nyumba na ya serikali, ebu niambie ukweli uko wapi?....Mnaosema Betting haifai Mna suggest kitu gani kifanyike ila kuboresha maisha ya vijana? Tukalime? Ok Mazao gani? Tukafanye Biashara? Ok Biashara gani ya Mtaji wa laki ikakupa hata Elfu 20 per day? Asilimia kubwa ya wanaobeti ni Masikini walioamua kujiajiri kwa njia hiyo! Maana yake kwingine panahitaji mitaji mikubwa mfano leo hii ukiwa na Milioni 10 Mtaji Hakuna Biashara yoyote utakayoifanya ikaingiza Laki 5 faida kwa siku! Ila ukibadilisha kwa kubet Milioni 10 upate faida Laki 5 ni odd 1.05 Ila kwa Hali halisi ni vijana wangapi Tanzania Hii wenye Milioni 5 tu za Mitaji ya Biashara?? Ila kubeti inahitaji Buku tu! Piki piki inauzwa Milioni 2 ila kipande kwa siku ni 10k na ikumbukwe risk pia ipo tena kubwa, pikipiki inaweza ikapata ajali ikafa pamoja na dereva , inaweza ikiporwa, sasa hv kuna mvua inaweza ikaingia mimaji ikafa ikitokea hvyo unakuwa umelost 2M kwa kutafuta buku 10 per day ila kubeti ukiweka 20k ukatafuta odd 1.50 unapata 30k faida 10k kama mwenye boda boda tofauti yake wewe umetumia vidole tu ba bundle kuipata 10k mwenzio kaungua na jua mchana kutwa halafu Leo hii unanishauri niache kubeti wanaofilisika hawana nidhamu ya Biashara
Nikweli kabisa. Kunakipindi nilkua naweza kutimiza siku 3 bila kulala kabisa nakesha night kali kukimbiza na basketball na mechi za china kukikucha naelekea job. Nakuabize mno mchana nakufanyia research gemu ntakazobeti night.Kwa sio tunao bet pindi tukisema tufanye biashara naamini tutafanikiwa sana hasa yule anayeweka 100k apate 200k, kwa nini nasema hivi maana betting huwa inahasara sana kuliko biashara yoyote, nilishangaa jamaa analia amepata hasara ya 30k kwenye biashara ya machungwa lakini ameuza na amebaki na pesa, sasa biashara unapata hasara lakini sio zote Mtaji unaisha, bet stake au Mtaji unalika wote inakuwa total loss.
Kwelii kabisa sijawahi ona pesa ndogo kwenye kubet lakini mpaka uipate Ni mbinde sasa unachukua 10000 Unaweka unapata 20000 Ni biashara gani iko ivo au 5000 unapata 200000 simple kabisa aisee betting bhna pesa Ni mteremko lakini ugumu upo.Nikweli kabisa. Kunakipindi nilkua naweza kutimiza siku 3 bila kulala kabisa nakesha night kali kukimbiza na basketball na mechi za china kukikucha naelekea job. Nakuabize mno mchana nakufanyia research gemu ntakazobeti night.
Sikua ata natime yakukaa nawatu kubadilishana mawazo niliona wananipotezea mda. Baadae nkaja nkagundua kua kma nikiamua kua serious kma nilvokua kwenye betting hivi vibiashara mbuzi haviwez niletea shida kabisa
watu hawajui tu hatakama uko surs kiasi gani ile pressure inamaliza nguvu mpaka unakula pesa umechoka kama nini wacheni watuseme mwisho wa siku kama unaweza improve maisha yako usione haya sababu ukikosa hata pesa ya betting hamna atakae kupa pesa kama yupo naaacha kubetKwelii kabisa sijawahi ona pesa ndogo kwenye kubet lakini mpaka uipate Ni mbinde sasa unachukua 10000 Unaweka unapata 20000 Ni biashara gani iko ivo au 5000 unapata 200000 simple kabisa aisee betting bhna pesa Ni mteremko lakini ugumu upo.
Jana nimempiga 18,000 Leo 22000 maisha yanaendaa 😂😂😋😋watu hawajui tu hatakama uko surs kiasi gani ile pressure inamaliza nguvu mpaka unakula pesa umechoka kama nini wacheni watuseme mwisho wa siku kama unaweza improve maisha yako usione haya sababu ukikosa hata pesa ya betting hamna atakae kupa pesa kama yupo naaacha kubet
Jana nimempiga 18,000 Leo 22000 maisha yanaendaa
Leo nimempiga laki 5 hatakaa anisahau kanji
Kwani sijaweka loser tickets hapo mkuu?
Kumbe na mademu muna wekaga stake 😂😂😂Leo nimempiga laki 5 hatakaa anisahau kanji
Leo nimempiga laki 5 hatakaa anisahau kanji
😂 😂 😂Tupiaga kamkeka basi kamoja tulegeze wote vyuma,mi nikipiga laki tank,nakutumia laki mbili
Forex ukiwa na mtaji wa milion 10 ambazo ni sawa na dola 4000 kupata milioni 1 kwa siku siyo ishuMnaosema Betting haifai Mna suggest kitu gani kifanyike ila kuboresha maisha ya vijana? Tukalime? Ok Mazao gani? Tukafanye Biashara? Ok Biashara gani ya Mtaji wa laki ikakupa hata Elfu 20 per day? Asilimia kubwa ya wanaobeti ni Masikini walioamua kujiajiri kwa njia hiyo! Maana yake kwingine panahitaji mitaji mikubwa mfano leo hii ukiwa na Milioni 10 Mtaji Hakuna Biashara yoyote utakayoifanya ikaingiza Laki 5 faida kwa siku! Ila ukibadilisha kwa kubet Milioni 10 upate faida Laki 5 ni odd 1.05 Ila kwa Hali halisi ni vijana wangapi Tanzania Hii wenye Milioni 5 tu za Mitaji ya Biashara?? Ila kubeti inahitaji Buku tu! Piki piki inauzwa Milioni 2 ila kipande kwa siku ni 10k na ikumbukwe risk pia ipo tena kubwa, pikipiki inaweza ikapata ajali ikafa pamoja na dereva , inaweza ikiporwa, sasa hv kuna mvua inaweza ikaingia mimaji ikafa ikitokea hvyo unakuwa umelost 2M kwa kutafuta buku 10 per day ila kubeti ukiweka 20k ukatafuta odd 1.50 unapata 30k faida 10k kama mwenye boda boda tofauti yake wewe umetumia vidole tu ba bundle kuipata 10k mwenzio kaungua na jua mchana kutwa halafu Leo hii unanishauri niache kubeti wanaofilisika hawana nidhamu ya Biashara
Forex ukiwa na mtaji wa milion 10 ambazo ni sawa na dola 4000 kupata milioni 1 kwa siku siyo ishu
ni kampuni gani hiyo unayoweza kuweka stake ya 10mMillioni 10 kupata millioni 1 huku kwenye betting ni odd 1.10 umeona tofauti? Odd 10 Unapata Millioni 100
Achana naye huyoMillioni 10 kupata millioni 1 huku kwenye betting ni odd 1.10 umeona tofauti? Odd 10 Unapata Millioni 100
unakuwa unasubiria dakika za 90+Millioni 10 kupata millioni 1 huku kwenye betting ni odd 1.10 umeona tofauti? Odd 10 Unapata Millioni 100
hahhahahahahahahahah raha thanaMkuu kwanini usisuke mkeka wa hiyo Milioni 15 mmoja tu upate zaidi???