Nimetembea na msichana wangu wa kazi, mke kajua kimenuka

Hongera sana, mke wako bado anakupenda. Siku Atajua mambo yako na kukupuuzia ujuehauna chako hapo. Uanzekujipanga
 
Habari zenu ndugu zangu,

Nimekua nikipata misusuko kwenye mahusiano na mke wangu huyu hii imekua too much, mke wangu alifiwa na baba yake tukaenda msibani, nyumba tukamwachia dada wa kazi, baada ya mazishi mimi nikarudi nyumbani, tumekaa siku tatu siku ya nne nikashindwa uvumilivu kama ile nyimbo ya Keisha nilirudi usiku nikiwa nishapiga tungi kidogo.

Basi usiku huo kulikua na mvua nikashindwa kabisa kulala nikamfata chumbani kwake alikokua kalala na mwanangu mkubwa wa miaka 5 nikamshtua nikamwambia njoo chumbani akaja baada ya dk 5 kilichoendelea sijui.

Sasa huyu mpuuzi kesho yake akaanza kiburi anamjibu mke wangu vibaya kwenye simu mara amwambie sitaki kazi za ndani tena baada ya mke wangu kurejea amembananisha mpaka kasema nimekula mzigo.

Toka juzi mke wangu hali yake imebadilika presha ilipanda, nikabeba kupeleka hosptali najuta mimi kwa upuuzi niliofanya.
Naona ulikuwa unakamilisha maandiko ya nabii Tito.
 
Pole sana
 
Wenzio tunaangalia
wakugonga wengine hua hazmo
Kama huyo bk 3 wako
Hamnazo kabsa na ww
Unaenda kugonga haya

Kavune ulichopanda
 
Kwani hili liliishaje?
Nimekuta meseji za mapenzi za dereva bodaboda kwenye simu ya mke wangu
Habari zenu ndugu zangu,

Nimekua nikipata misusuko kwenye mahusiano na mke wangu huyu hii imekua too much, mke wangu alifiwa na baba yake tukaenda msibani, nyumba tukamwachia dada wa kazi, baada ya mazishi mimi nikarudi nyumbani, tumekaa siku tatu siku ya nne nikashindwa uvumilivu kama ile nyimbo ya Keisha nilirudi usiku nikiwa nishapiga tungi kidogo.

Basi usiku huo kulikua na mvua nikashindwa kabisa kulala nikamfata chumbani kwake alikokua kalala na mwanangu mkubwa wa miaka 5 nikamshtua nikamwambia njoo chumbani akaja baada ya dk 5 kilichoendelea sijui.

Sasa huyu mpuuzi kesho yake akaanza kiburi anamjibu mke wangu vibaya kwenye simu mara amwambie sitaki kazi za ndani tena baada ya mke wangu kurejea amembananisha mpaka kasema nimekula mzigo.

Toka juzi mke wangu hali yake imebadilika presha ilipanda, nikabeba kupeleka hosptali najuta mimi kwa upuuzi niliofanya.
 
Habari zenu ndugu zangu,

Nimekua nikipata misusuko kwenye mahusiano na mke wangu huyu hii imekua too much, mke wangu alifiwa na baba yake tukaenda msibani, nyumba tukamwachia dada wa kazi, baada ya mazishi mimi nikarudi nyumbani, tumekaa siku tatu siku ya nne nikashindwa uvumilivu kama ile nyimbo ya Keisha nilirudi usiku nikiwa nishapiga tungi kidogo.

Basi usiku huo kulikua na mvua nikashindwa kabisa kulala nikamfata chumbani kwake alikokua kalala na mwanangu mkubwa wa miaka 5 nikamshtua nikamwambia njoo chumbani akaja baada ya dk 5 kilichoendelea sijui.

Sasa huyu mpuuzi kesho yake akaanza kiburi anamjibu mke wangu vibaya kwenye simu mara amwambie sitaki kazi za ndani tena baada ya mke wangu kurejea amembananisha mpaka kasema nimekula mzigo.

Toka juzi mke wangu hali yake imebadilika presha ilipanda, nikabeba kupeleka hosptali najuta mimi kwa upuuzi niliofanya.
Good! Mwana kuli-find mwana kuli-get, good with your lovely trouble 😂
 
images%20(43).jpg
 
Back
Top Bottom