Nimetapeliwa Simu kumbe mobitel

Duuh!! Nadhani liwe funzo kwako hiyo kauli ya kutaka watu wakusaidie hela ujifute machozi achana nayo we ni mwanaume pambana upate hela yako ukanunue simu ingine sehemu ya kueleweka.
 
Back
Top Bottom