Nimetapeliwa pesa zangu baada ya kuwekeza Fire Forex investment

Na forex is not an easy thing down on earth kuna watu they are trading mwaka wa 2 hawajawahi pata profit lakin ukijipa muda wa kuelewa fundamental rules on forex uta trade mwenyw na utajipa faida...hakuna pesa rahisi duniani na nakubal ukiona biashara ina magic profits jiulize mara 700
Forex ni biashara kama biashara nyingine. Ila kuna watu wanaitumia kuibia watu wasio na subira.
 
Lissu bora awe tu Rais atuondolee huu upuuzi,

Just image huyu ni mwanafunzi wa chuo
Mbona issue ya kawaida sana hii wanachuo wanapigwa tena kindezi zaidi ya hapa. Mimi nachoma mwenyewe wala siwezi mpa mtu anichomee. Na mara nyingi hawa huchoma wala hawaibi kabisa.
 
Pole bro kwa kupigwa, jifunze usifanye makosa siku ingine.

Njia pekee ya kulipiza kisasi ni hapo tarehe 28 October fanya kweli usifanye makosa kama ulivyofanya haya ya kutapeliwa. Chagua mtu makini, chagua chaguo la watanzania, chagua sauti ya Munģu, #NIYEYE hakikisha hufanyi makosa tena
#LISUU #MakeTZGreat #MaTG
Oya mkuu unafanyaje matunda yakilala aisee. Mi nimeyengeneza jana yakalala sasa naona kama nitazingua kuyaweka sokoni
 
Forex ni biashara kama biashara nyingine. Ila kuna watu wanaitumia kuibia watu wasio na subira.
Well said Mkuu

Ukiwekeza muda kuijua itakulipa tu nothing sucks forever, kuwa trader kuna raha na chungu zake lakini everything has a price to pay
 
Habar za asubuhi wakuu, Bila kupoteza muda niende kwenye maada, katika harakati za kupambana kupata riziki, kuna mtu nisiemfahamu alinifuata inbox na kunishirikisha juu ya uwezekezaji wa pesa unaoitwa FIRE FOREX INVESTMENT, akanambia unawekeza kiwango cha pesa then unakuwa unalipwa 15% ya pesa uliyowekeza kila siku kwa muda Wa siku 10, nilijua ni utapeli ila jamaa akajaribu kuniaminisha kwa kunitumia picha ya cheti fake kilichokuwa certified by brela, nikaamua nijaribu kwa kiwango kidogo cha pesa, nikaweka 100k pesa ikawa inaingia kawa kawaida, ilikuwa inaingia 15k kwa siku kama 4 hivi, nikawashirikisha na marafiki nao wakawekeza, kiukweli huyu Tapeli ali win trust zetu, tulimuamini kupitiliza sijui tulirogwa,

Basi baada ya kumuamini watu tukaongeza pesa za uwezekezaji, mimi niliongeza 500k na rafiki yangu aliongeza kama 1M hivi, Kumbe huyu tapeli alitaka tumuamini then tuwekeze pesa nyingi ili atupige. Baada ya kuongeza pesa za uwezekezaji jamaa tukawa tunapiga simu hazipokelewi, akatublock whatsap, nguvu ziliniisha, pesa zangu nilizodunduliza tangu first mpaka namaliza chuo ndio zimepotea kirahisi namna hii ndani ya siku moja, imeniuma sana na sijui la kufanya.

NB; Ndugu zangu tuwe na tahadhari juu ya uwezekezaji na utapeli kama huu, yasije yakawatokea kama yaliyonitokea mimi, huyu Tapeli anajiita YASSIN RAMADHANI ALLY
Yani mhitimu wa chuo kikuu unakua na akili mdogo namna hii? Bora umepigwa na bado utapigwa tena!!

Pumbafu.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Ila Mimi ndiyo maana siendelei yaani upuuzi wa kuinvest invest kifala fala sinaga....

Mtoa mada subiri waje watakaokuita msukule wa forex / Ontario

Hahahaaaa
 
Karibu mjini
Tapeli aliwasha VPN akaliwa laki, akazima VPN akala milioni na ushee😂😂
 
Kusikia Kwa Kenge Mpaka Atoke Damu Puani Na Masikioni

Unasoma Chuo Gani?
Forex
Deci
Mr Kuku
Ufugaji Sungura
Mnunuzi Wa Mahindi Ruvuma

Hakuna Vya Bure Ndugu Zangu
Nasema Uongo Ndugu Zangu!!!

Sawa Mkuu tumekuelewa
 
Karibu mjini
Tapeli aliwasha VPN akaliwa laki, akazima VPN akala milioni na ushee😂😂
"Wanawake wengi wanamwogopa mende ndio mana hua wanafurahia kifo chake." Daah Nimecheka sana haka ka msemo kako!
 
Habar za asubuhi wakuu, Bila kupoteza muda niende kwenye maada, katika harakati za kupambana kupata riziki, kuna mtu nisiemfahamu alinifuata inbox na kunishirikisha juu ya uwezekezaji wa pesa unaoitwa FIRE FOREX INVESTMENT, akanambia unawekeza kiwango cha pesa then unakuwa unalipwa 15% ya pesa uliyowekeza kila siku kwa muda Wa siku 10, nilijua ni utapeli ila jamaa akajaribu kuniaminisha kwa kunitumia picha ya cheti fake kilichokuwa certified by brela, nikaamua nijaribu kwa kiwango kidogo cha pesa, nikaweka 100k pesa ikawa inaingia kawa kawaida, ilikuwa inaingia 15k kwa siku kama 4 hivi, nikawashirikisha na marafiki nao wakawekeza, kiukweli huyu Tapeli ali win trust zetu, tulimuamini kupitiliza sijui tulirogwa,

Basi baada ya kumuamini watu tukaongeza pesa za uwezekezaji, mimi niliongeza 500k na rafiki yangu aliongeza kama 1M hivi, Kumbe huyu tapeli alitaka tumuamini then tuwekeze pesa nyingi ili atupige. Baada ya kuongeza pesa za uwezekezaji jamaa tukawa tunapiga simu hazipokelewi, akatublock whatsap, nguvu ziliniisha, pesa zangu nilizodunduliza tangu first mpaka namaliza chuo ndio zimepotea kirahisi namna hii ndani ya siku moja, imeniuma sana na sijui la kufanya.

NB; Ndugu zangu tuwe na tahadhari juu ya uwezekezaji na utapeli kama huu, yasije yakawatokea kama yaliyonitokea mimi, huyu Tapeli anajiita YASSIN RAMADHANI ALLY
ahaaa na mimi wamenitafuta telegram namba mpyaa! ngoja niambatanishe tanganzo lao uone

Fx, [05.10.20 13:57]
💰💰💰FOREX FIRE INVESTMENT

💎 KARIBU KATIKA UWEKEZAJ MAKINI KABISA UNAOKUWEZESHA KUPATA ASILIMIA 15 YA ULICHOKIWEKEZA KILA SIKU KWA MUDA WA SIKU 10

💷 SHUGHULI ZINAZOFANYIKA ILI KUTENGENEZA FAIDA NDANI YA FOREX FIRE INVESTMENT

🏺FOREX TRADE BIASHARA YA UUZAJI NA UNUNUAJI WA FEDHA ZA KIGENI YAANI FOREIGN EXCHANGE

🕹CRYPTOCURRENCY NI BIASHARA YA DIGITAL CURRENCY AMBAYO INAHUSIKA KUNUNUA NA KUUZA DIGITAL CURRENCY MFANO BITCOIN

NI BIASHARA AMBAZO ZINATUPA FAIDA KUBWA SANA HASWA KATIKA KIPIND HICHI CHA CORONA AMBACHO WATU HAWATOKI NJE BAADH YA NCHI LAKN NDAN YA FOREX TUNAWEZA KUTRADE KUPITIA ONLINE KATIKA SOKO LA DUNIA SABABU KILA DAKIKA WATU DUNIAN WANAFANYA TRANSACTION KUBWA SANAA HIVO INAWEZESHA BIASHARA YA FOREX KUTOKUA NA KIPINGAMIZI .

KUTOKANA NA BIASHARA TUNAYOFANYA HAPO JUU INATUFANYA TUWEZE KUMLIPA MWANACHAMA ASILIMIA 15 KILA SIKU KATIKA UWEKEZAJ WAKE BILA TATIZO, NA USIPUUZE HII BIASHARA NI KUBWA SANA NA INAFANYWA NA WATU WAKUBWA DUNIAN KAMA DONALD TRUMP MFANO MZUR UNAWEZA INGIA YOUTUBE UKAANDIKA DONALDTRUMP ABOUT FOREX UTAONA KUA HATA RAISI WA MAREKAN ANAFANYA FOREX PIA MABENK MAKUBWA DUNIAN YANAFANYA HII ONLINE BUSINESS ILA KUTOKANA NA TANZANIA NI BADO NCHI INAYOENDELEA KUFANYA HIZI FURSA KUTOFIKA MAPEMA KARIBU SANA MUWEKEZE .

VIWANGO VYA UWEKEZAJI KIWANGO CHA CHINI CHA KUEKEZA NI SH 5000 NA KIWANGO CHA JUU CHA KUEKEZA NI SH LAKI5

💎 MFANO TUANGALIE VIWANGO

5000 -----. UTALIPWA 750 KILA SIKU KWA SIKU10 UTAKUA NA 7500

10000 ----- UTALIPWA SH 1500 KILA SIKU NDAN YA SIKU10 UTAKUA NA 15000

100000 ---- UTALIPWA SH 15000 KILA SIKU KWA MUDA WA SIKU10 UTAKUA NA 150000

200000 ----. UTALIPWA TSH 30000 KILA SIKU KWA MUDA WA SIKU10 UTAKUA NA LAKI3

500000 ----. UTALIPWA TSH 75000 KILA SIKU KWA MUDA WA SIKU10 UTAKUA NA LAKI7 NA NUSU

KARIBUN SANA

innocent tibenda, [09.10.20 08:36]
mi najifunza kufanya kabisaa

innocent tibenda, [09.10.20 08:36]
may be if ur able to teach how to fish PIPS it is oky

Fx, [09.10.20 08:47]
Hapana kama unajifunza tafuta huko mtandaon mm sikufundishi

innocent tibenda, [09.10.20 08:56]
all the best
 
Habar za asubuhi wakuu, Bila kupoteza muda niende kwenye maada, katika harakati za kupambana kupata riziki, kuna mtu nisiemfahamu alinifuata inbox na kunishirikisha juu ya uwezekezaji wa pesa unaoitwa FIRE FOREX INVESTMENT, akanambia unawekeza kiwango cha pesa then unakuwa unalipwa 15% ya pesa uliyowekeza kila siku kwa muda Wa siku 10, nilijua ni utapeli ila jamaa akajaribu kuniaminisha kwa kunitumia picha ya cheti fake kilichokuwa certified by brela, nikaamua nijaribu kwa kiwango kidogo cha pesa, nikaweka 100k pesa ikawa inaingia kawa kawaida, ilikuwa inaingia 15k kwa siku kama 4 hivi, nikawashirikisha na marafiki nao wakawekeza, kiukweli huyu Tapeli ali win trust zetu, tulimuamini kupitiliza sijui tulirogwa,

Basi baada ya kumuamini watu tukaongeza pesa za uwezekezaji, mimi niliongeza 500k na rafiki yangu aliongeza kama 1M hivi, Kumbe huyu tapeli alitaka tumuamini then tuwekeze pesa nyingi ili atupige. Baada ya kuongeza pesa za uwezekezaji jamaa tukawa tunapiga simu hazipokelewi, akatublock whatsap, nguvu ziliniisha, pesa zangu nilizodunduliza tangu first mpaka namaliza chuo ndio zimepotea kirahisi namna hii ndani ya siku moja, imeniuma sana na sijui la kufanya.

NB; Ndugu zangu tuwe na tahadhari juu ya uwezekezaji na utapeli kama huu, yasije yakawatokea kama yaliyonitokea mimi, huyu Tapeli anajiita YASSIN RAMADHANI ALLY
profile yake na namba zakee
 
Attachments

  • fx.PNG
    fx.PNG
    6.7 KB · Views: 3
Back
Top Bottom