Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 26,101
- 34,052
Habarini wadau,
Ninaomba msaada kwa anayeweza kunisaidia, nilipoteza kadi yangu ya NMB bank, nikaamua kujaza loss report tangu Oktoba mwaka jana kwa njia ya online. Niliambiwa kuwa malipo yamekamilika hivyo nikacomfirm polisi, sikwenda ku-comfirm sasa juzi kushinda jana ikanijia meseji kuwa shillingi 2000 imekatwa kwenye kadi namba yangu inayoishia na xxxx lakini baadae hela hiyo ikarudishwa.
Leo usiku huu nimepata tena message kuwa hela yangu 81000/= imekatwa kulipia huduma flani ya Inked in (sio LinkedIn) na Google Tempo. Wakati sijajiunga na huduma yoyote ile ya malipo ya mtandaoni.
Naomba sana mwenye kuweza kunisaidia anipe mwongozo nianzie wapi kwasababu nimetuma msg ya UTAPELI kwenda polisi hawajajibu.
NASHUKURU