Nimetapeliwa na Wachapishaji wa Gazeti la Raia Mwema.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimetapeliwa na Wachapishaji wa Gazeti la Raia Mwema....

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mtoboasiri, Apr 25, 2012.

 1. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  ..
  yaani wameweka page nzima ya mwisho tangazo la magamba?!!! Aaargh! Hadi kichefuchefu! Nilimelitupa na gazeti lenyewe. Mwenye moyo wa kulisoma toleo hilo atuwekee hapa habari yeyote atakayoona ni ya maana.
   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahahahahaaa ungelichoma moto kabisa
   
Loading...