Nimetapeliwa laki moja kwa tamaa zangu mbaya

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
80,570
105,470
Kumbe jana nimeingizwa choo cha kike na ujanja wangu wote.

Ilikua hivi nilikua bar alafu nilikuwa mitungi, akaja jamaaa alikuwa na shida ya laki moja ila yeye alikuwa na euro 200.

Kwa tamaa yangu mimi nkachukuaa ilw euro 200 nkampa laki nikjua nimempata.

Leo asubuhi naenda kuichenji kumbe ile hela fafa kanjanja. Ahhhh yani mimi mtoto wa town alafu mjanja nimeingizwa kingi hivi hivi kweli tamaa imeniponza.

Jana nimeingizwa choo cha kike nimeona niwajulishe wanajf humu ili asije mwingine akalizwa kama mimi.
 
nawewe tafuta boya mwenzio umbambikie ila angalia asikushtukie akupe kichapo non-stop,..
 
Una hakina wewe ni mtoto wa mjini?,kweli unatapeliwa kizembe hivi kweli?...pole sana mkuu..
 
Kumbe jana nimeingizwa choo cha kike na ujanja wangu wote.

Ilikua hivi nilikua bar alafu nilikuwa mitungi, akaja jamaaa alikuwa na shida ya laki moja ila yeye alikuwa na euro 200.

Kwa tamaa yangu mimi nkachukuaa ilw euro 200 nkampa laki nikjua nimempata.

Leo asubuhi naenda kuichenji kumbe ile hela fafa kanjanja. Ahhhh yani mimi mtoto wa town alafu mjanja nimeingizwa kingi hivi hivi kweli tamaa imeniponza.

Jana nimeingizwa choo cha kike nimeona niwajulishe wanajf humu ili asije mwingine akalizwa kama mimi.

Mkuu hauwezi kuwa mjanja bila kutapeliwa kiuzembe!

Nakumbuka nilijiona mjanja kwa kuzaliwa na kukulia town! One day nikaamua kwenda kutembea kijiji fulani, nilijiamini sana na kuwachukulia watu wa vijijini ni washamba, Mwee!
Walinii soko nzoba mpya niliyoipeleka kwa ajili ya ndugu yangu!

Niliishia kucheka tu! Teh teh teh!
 
Yani amtu anakuja na laki mbili alafu anakwambia umpe laki moja ili akupe zile laki mbili. na wewe hustuki!!
 
Kumbe jana nimeingizwa choo cha kike na ujanja wangu wote.

Ilikua hivi nilikua bar alafu nilikuwa mitungi, akaja jamaaa alikuwa na shida ya laki moja ila yeye alikuwa na euro 200.

Kwa tamaa yangu mimi nkachukuaa ilw euro 200 nkampa laki nikjua nimempata.

Leo asubuhi naenda kuichenji kumbe ile hela fafa kanjanja. Ahhhh yani mimi mtoto wa town alafu mjanja nimeingizwa kingi hivi hivi kweli tamaa imeniponza.

Jana nimeingizwa choo cha kike nimeona niwajulishe wanajf humu ili asije mwingine akalizwa kama mimi.

Napata mashaka kidogo!

Kama katika mazingira hayo unaingizwa mkenge, je kwenye hii biashara ya viwanja unayoifanya hali itakuweje?

Ref:

https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/652544-viwanja-viwanja-kigamboni.html

https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/652280-viwanja-viko-surveyed-tayari.html

I doubt!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom