mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 80,813
- 105,989
Kumbe jana nimeingizwa choo cha kike na ujanja wangu wote.
Ilikua hivi nilikua bar alafu nilikuwa mitungi, akaja jamaaa alikuwa na shida ya laki moja ila yeye alikuwa na euro 200.
Kwa tamaa yangu mimi nkachukuaa ilw euro 200 nkampa laki nikjua nimempata.
Leo asubuhi naenda kuichenji kumbe ile hela fafa kanjanja. Ahhhh yani mimi mtoto wa town alafu mjanja nimeingizwa kingi hivi hivi kweli tamaa imeniponza.
Jana nimeingizwa choo cha kike nimeona niwajulishe wanajf humu ili asije mwingine akalizwa kama mimi.