Nimetamkiwa na mke wangu kuwa Mimi ni dhaifu sana!

Hii kauli kiukweli ina uma sanaaa,unapotamkiwa na mtu yeyote.

Na ina uma pale kiukweli wewe ni dhaifu kwenye mambo Fulani.

Mfano leo mke wangu kanitamkia kuwa Mimi ni dhaifu sana kwenye kufanya kazi kauli ambayo imesababisha nikimbie mji kwani nimedharirika sanaaa.

Kumbe hii kauli ina uma sanaa isee
Hiyo kahawa wauzie wasiojua madhara yake ya caffeine lkn kwa sisi wengine tupe hata togwa tu itatutosha
 
Mtangazie wazi kuwa Hushirikiani nae tena "KIKAZI"...!
Kabla sijakupa ushauri naomba umpe vibao 3
Usifanye kazi na yeye.
Mtafute "mtaalamu" atakayekufundisha namba ya kupiga "romance" wee (hata nusu saa ikibidi), mpaka akawambie "amekuwa dhaifu" ndipo wewe uanze "kushughulika" Kumridhisha mwanamke ni "maujanja" tu sio saizi ya mtwangio wala urefu wa muda wa kutwanga.
Nauza vumbi la Congo
Hizi comment zinafurahisha aisee
 
Hii kauli kiukweli ina uma sanaaa,unapotamkiwa na mtu yeyote.

Na ina uma pale kiukweli wewe ni dhaifu kwenye mambo Fulani.

Mfano leo mke wangu kanitamkia kuwa Mimi ni dhaifu sana kwenye kufanya kazi kauli ambayo imesababisha nikimbie mji kwani nimedharirika sanaaa.

Kumbe hii kauli ina uma sanaa isee
wewe ni dhaifu sanaaa, unakimbia mji kukimbia kauki!
 
Hii kauli kiukweli ina uma sanaaa,unapotamkiwa na mtu yeyote.

Na ina uma pale kiukweli wewe ni dhaifu kwenye mambo Fulani.

Mfano leo mke wangu kanitamkia kuwa Mimi ni dhaifu sana kwenye kufanya kazi kauli ambayo imesababisha nikimbie mji kwani nimedharirika sanaaa.

Kumbe hii kauli ina uma sanaa isee

kwa mwanamke akikwambia wewe dhaifu maana yake husimamishi
 
Hii kauli kiukweli ina uma sanaaa,unapotamkiwa na mtu yeyote.

Na ina uma pale kiukweli wewe ni dhaifu kwenye mambo Fulani.

Mfano leo mke wangu kanitamkia kuwa Mimi ni dhaifu sana kwenye kufanya kazi kauli ambayo imesababisha nikimbie mji kwani nimedharirika sanaaa.

Kumbe hii kauli ina uma sanaa isee
Mwambie wewe hulipendi neno hilo!
(kiupoole kama mkuundugay alivyotepeteshwa na CAG)
 
Back
Top Bottom