Nimetamkiwa na mke wangu kuwa Mimi ni dhaifu sana!

Bro unanitangazia mimi hiyo biashara...???
Nenda kwengineko mimi niko fiti,
Wewe mwenyewe ulisema u dhaifu.
Hapa kuna mawili. Aidha memdahp ajiuzulu au wewe upigwe jeki na vumbi. Anyway kama uko fiti huko afrika ya kusini mbona umekimbia mji?
 
Watafiti wanalifanya utafiti kugundua kwanini baada ya miaka mitano ya ndoa wanaume wanapoteza hisia za kimapenzi kwa wake zao lakini wakichepuka wanakuwa na mzuka balaa.Hizi Ni sababu mbili kati ya tano.

1.uchafu.
2.kauli chafu
Mwanamke anaongea kauli ambazo zinashindwa kutoka kwenye moyo na akili za mwanaume hivo zinapelekea mwanaume kushindwa kabisa kumtamani mkewe tena..

Wadada kuweni makini sana na kauli zinazo doubts uwanaume wa mumeo coz unaweza usisamehe kabisa hata ukijaribu kujishusha vip unashangaa ndo mwanaume anazidi kukuona takataka..

Upuuzi wetu sisi wanaume sometimes hatutaki kukaa chini na kuongea kipi kimetukwaza tunaona km nao Ni udhaifu na mnajua wanaume Kuna vitu hatujui kusamehe kabisa.

Kauli kama una tabia za kike ,umelegea,umenenepeana na kadhalika unaweza usisamehewe tenaaa na hutakaa ujue ulikosea wapi sababu hatasema,swali Ni je uliongea Nini??????????????????

Ulisema Nini????????
Kweli kabsaa.... wanaume hatutaki kuambiwa una tabia za kike ....inakera mwanamke anaweza kuchukiwa mpaka kufa na asielewe
 
Wewe mwenyewe ulisema u dhaifu.
Hapa kuna mawili. Aidha memdahp ajiuzulu au wewe upigwe jeki na vumbi. Anyway kama uko fiti huko afrika ya kusini mbona umekimbia mji?
Aisee... Kiongozi utakuwa umechanganya mafaili... Seriously
 
Kwani Mimi ??? We huoni kama mpaka kiwanda cha kutengeneza mboo bandia kimejengwa nchini huoni kama wanaume wa nchi hiyo ni dhaifu???
Kwani magari yanayotengenezwa Japan yanatumika yote Japan bongo kuna kiwanda cha simu mbona tunatumia kutoka nje, acha mara moja kukariri, kiwanda cha dildo bongo tutawauzia waphilipino.
 
Kwani magari yanayotengenezwa Japan yanatumika yote Japan bongo kuna kiwanda cha simu mbona tunatumia kutoka nje, acha mara moja kukariri, kiwanda cha dildo bongo tutawauzia waphilipino.
 
Hii kauli kiukweli ina uma sanaaa,unapotamkiwa na mtu yeyote.

Na ina uma pale kiukweli wewe ni dhaifu kwenye mambo Fulani.

Mfano leo mke wangu kanitamkia kuwa Mimi ni dhaifu sana kwenye kufanya kazi kauli ambayo imesababisha nikimbie mji kwani nimedharirika sanaaa.

Kumbe hii kauli ina uma sanaa isee
Kuna mtu keshafanya yake teyar
 
Hii kauli kiukweli ina uma sanaaa,unapotamkiwa na mtu yeyote.

Na ina uma pale kiukweli wewe ni dhaifu kwenye mambo Fulani.

Mfano leo mke wangu kanitamkia kuwa Mimi ni dhaifu sana kwenye kufanya kazi kauli ambayo imesababisha nikimbie mji kwani nimedharirika sanaaa.

Kumbe hii kauli ina uma sanaa isee
Jitathimini nani ni CAG na nani ni Speaker!!
 
Mtafute "mtaalamu" atakayekufundisha namba ya kupiga "romance" wee (hata nusu saa ikibidi), mpaka akawambie "amekuwa dhaifu" ndipo wewe uanze "kushughulika" Kumridhisha mwanamke ni "maujanja" tu sio saizi ya mtwangio wala urefu wa muda wa kutwanga.
 
Hii kauli kiukweli ina uma sanaaa,unapotamkiwa na mtu yeyote.
Na ina uma pale kiukweli wewe ni dhaifu kwenye mambo Fulani.
Mfano leo mke wangu kanitamkia kuwa Mimi ni dhaifu sana kwenye kufanya kazi kauli ambayo imesababisha nikimbie mji kwani nimedharirika sanaaa.
Kumbe hii kauli ina uma sanaa isee
Kauli pana sana hiyo inawezekana kwenye 6x6 mkuu we nenda kabebe zege ujichoshe
 
Back
Top Bottom