mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,763
- 35,205
Hadi umekuja kuuliza hapa nadhani umeikubali kwa asilimia kubwa kofia ya plastiki nakushauri kitu kimoja, ifanye kwa muda mfupi sana upate uzoefu flani halafu uiache, baadae utumie uzoefu huo kufanya biashara yako....kama unahitaji mawazo ya biasha utapata . Sikushauri uifanye zaidi ya mwezi mmoja hata ukipewa ofisi itakulemaza