Nimetafuta ajira nimeipata kwenye kampuni la wahindi ila hiyo kazi, ushauri

kofia ya plastiki

JF-Expert Member
Jun 9, 2019
416
404
Kesho najaza mkataba wa kazi Mungu akipenda, kazi unazunguka na bidhaa gawio la asilimia 10 ya mauzo kwa siku..ndo salary (mfano wa wakala)

Ukifikisha point wanakupromote unakabidhiwa ofisi... Nipo naitafakari hii kazi..
Kwa anaetaka aje nimuumganishe aandike barua ya kuomba kazi na barua ya mdhamini.. Na paspot size mbili zako na za mdham wako
 
Bidhaa gani?? Labda zinauzika kwa urahisi japo bado unanyonywa sanaa...Ukiuza 100k unapata elfu 10 tu...
 
Kesho najaza mkataba wa kazi Mungu akipenda, kazi unazunguka na bidhaa gawio la asilimia 10 ya mauzo kwa siku..ndo salary (mfano wa wakala)

Ukifikisha point wanakupromote unakabidhiwa ofisi... Nipo naitafakari hii kazi..
Kwa anaetaka aje nimuumganishe aandike barua ya kuomba kazi na barua ya mdhamini.. Na paspot size mbili zako na za mdham wako
Kama maisha yametaiti kiasi hicho ifanye ila kama kuna uhakika wa maisha kidogo usifanye mkuu tafuta ishu nyingine bora uzungushe bidhaa zako mwenyewe utapigwa na jua na hakuna utachoambulia zaidi ya stress.
 
Kesho najaza mkataba wa kazi Mungu akipenda, kazi unazunguka na bidhaa gawio la asilimia 10 ya mauzo kwa siku..ndo salary (mfano wa wakala)

Ukifikisha point wanakupromote unakabidhiwa ofisi... Nipo naitafakari hii kazi..
Kwa anaetaka aje nimuumganishe aandike barua ya kuomba kazi na barua ya mdhamini.. Na paspot size mbili zako na za mdham wako
Nikisema nitaonekana nadharau kazi za watu wengine.

All the best mkuu
 
Unatembeza Mabeseni?
Kesho najaza mkataba wa kazi Mungu akipenda, kazi unazunguka na bidhaa gawio la asilimia 10 ya mauzo kwa siku..ndo salary (mfano wa wakala)

Ukifikisha point wanakupromote unakabidhiwa ofisi... Nipo naitafakari hii kazi..
Kwa anaetaka aje nimuumganishe aandike barua ya kuomba kazi na barua ya mdhamini.. Na paspot size mbili zako na za mdham wako
 
Nilivyomaliza form 4 mwaka 2004 niliwah kuomba kazi, nkaenda nkapewa mkataba wa kazi, nkakabidhiwa kwa mtu wa kunifundisha kaz, kumbe ndo kaz hii unayokwenda kujaza mkataba kesho?

Nilizunguka na jamaa na mahotpot, mabesen, sahan, vikombe, tulitembea kutwa, kurud saa 12 jioni, mnaacha vitu kesho tena.

Aseh, sikurud hyo kesho.. Hyo syo kaz, watakunyonya
Hahaha eti sikirudi hiyo kesho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom