Nimetafakari kuwa na mpenzi hapa chuo lakini ninazani hizi ndizo zitakua hasara kwangu

mimi kama mwanafunzi wa chuo kikuu nimetafakari ni bora ni kawa na mpenz hata wa kufarijiana na kupeana mawazo mawili matatu lakini nawaza sana juu ya mambo yafuatayo ,,1]kuombwa pesa,2]kupeana stress ,hasa kama kozi moja 3]out zisizo na msingi, nachoka kuwaona wasichana wengi lakini similiki hata mmoja daaa let me try,,,.
Tafuta mwalimu mwenye mkopo. Hawa wazuri sana
 
Ukwel Toka Kwenye Uvungu Wa Moyo Mwangu Wakat Nipo Chuo Nilikua Nafulah Sana Kuwa Single Yan Nakua Free Sana ,nikipata Hela Nai Badget My Self Sikuwah Kumnunulia M/ke Hata Chai ILA NILIKUA NA JAMAA ANGU M1 BEST ANGU SANA NILIKUA NAMSINDIKIZA KWENDA KUMNUNULIA DEM WAKE ZAWAD cha kushangaza kuja kujua jamaa ana share na principle I LIKE TO BE FREE
 
Umenikumbusha mbali.
Una kumbuka ulivyokuwa unasoma chuo Fulani dar na Mimi chuo Fulani mkoani?
Tukipewa assignment nakutumia kwenye Email unafanya unairudisha Mimi nakusanya tuu?
Hhahahah hako kabachelor kako 70% ni kutoka kwangu... Dah sema bila ya kukufanyia assignment ungenikataaa
 
Yaani karibia chote ni cha kwako.
Nimemaliza chuo sijui assignment inafanywaje ha ha ha.
Hapana nisingekukataa maana wewe nilikuwa na kupenda sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie watu Mimi NAWAPENDA
 
Back
Top Bottom