Nimestushwa bundi kudumu Bungeni zaidi ya masaa kumi, Vyombo vya Usalama mpo?

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,977
20,243
Nimestushwa sana kwa tukio la bundi huyu kudumu ndani ya Bunge kwa zaidi ya masaa kumi na huenda hadi kesho akawepo eneo hilo, Kilichonistua si uwepo wa bundi tu, bali kuendelea kuwepo kwa bundi huyo, Nailaumu idara ya Usalama wa Taifa kuacha bundi huyo kudumu kwa muda wote huo bila kuchukua hatua stahiki (counterattack), Lakini kiimani nawalaumu waumini wenzangu wa uafrika (wabunge 99.9%), kwani wanaijua vema tafsiri ya ndege aina ya bundi, walipaswa kuchukua hatua stahiki za haraka sana, rafiki yangu mzee Chenge, Kigwangala, Msukuma na wengine, kulikoni mmepigwa kitu hiki?

Kwa upande wa Idara ya usalama wa Taifa nitalieleza kwa kirefu sana nikirejee yale niliyoyaandika katika kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi ambacho hadi sasa wabunge na vyombo vya ulinzi nchini kimekuwa kitabu pendwa kwao...

Bundi na ndege wengine ni miongoni mwa vitendea kazi imara sana vya ujasusi wa kiasa duniani, bundi kama huyu anafungwa microcamera na vinasaba kadhaa vyenye wezo mkubwa wakusoma hata maandishi ya hansadi za bunge. Ninasema haya nikiwa na uhakika kwamba ujasusi ni taalumu inayokuwa na kubadilika siku hadi siku kulingana na mageuzi ya teknolojia,

Mwaka 2014 mwezi wa 12 tarehe 1, majira ya saa kumi na dakika arobaini na nne, katika barabara kuu jimbo la Kaskazini la Faryab nchini Afghanistani, shirika la ujasusi la nchi hiyo la Khadamat-e Aetla'at-e Dawlati ama kwa lugha ya kitumwa linaitwa "State Intelligence Agency" (KAD), kwausharika wa National Directorate of Security (NDS) walinasa miale ya camera kupitia mitambo yao yakunasa vinasa sauti/video nk (,Detectors).

Ufuatiliaji ulikuja kubaini kwamba kuna ndege anaonekana anaruka angani umbara mrefu kufuata barabara hiyo, hatua iliyowastua na taarifa ikatumwa mjini Kabul makao makuu ya Ujasusi, hatua za dharula ilikuwa ni namna gani ya kumzuia ndege huyo kufika maeneo muhimu ya kimbinu, huku sheria ya kulinda wawanyama na ndege ikiqa kikwazo katika kadhiavhiyo.

Mkuu wa kitengo cha ujasusi wa anga Maj. Gen. Abdul Nabi Ilham baada ya mjadala mrefu akatoa amri ya kuvunja sheria hiyo kwa maslahi ya nchi na kuagiza kikosi cha wadunguaji kumshusha ndege huyo ambapo dakika 20 tu za kadhia hiyo ndege huyo anayekadiriwa alikuwa urefu wa futi 780 angani alishushwa na Sajeni Awad Mohamed Nabil akitumia bunduki ya udunguaji aina ya L115A3 ya masafa marefu.

Baada ya kumuua ndege huyu ilibainika amefungwa kamera na mitambo midogo ya GPRS na uchunguzi zaidi ukabaini kuwa ndege huyu ametumwa kutokw kundi la kigaidi la Talban ambalo lilikuwa limeondolewa madarakani katika vita vya 2003 kwa msaada wa Marekani. Kimsingi ujasusi wa kutumia viumbe kama vile Samaki aina ya Dolphins, Kondoo, Ndege aina ya Hodihodi na tai ni ujasusi wa kale na umeboreshwa vizuri sana katika ulimwengu wa leo.

Marekani na Israel imekuwa ikitumia sana ujasusi huu hasa katika kuyadhibiti au kuyapa nguvu makundi ya kigaidi eneo la Mashariki ya kati na ulaya Magharibi. Nchini Tanzania nayo haipo nyuma ambapo kupitia idara yake ya ujasusi kijeshi imeweza kufundisha panya wakutegua mabomu na wa kugundua ugonjwa wa TB, huu ni ugunduzi mkubwa na kwa tafiti za maendeleo ya ujasusi, hakuna kwa sasa nchi iliyofanya ugunduzi wa aina hii kwakutumia panya, bali tunashuhudia kuona. mbwa ndio amekuwa maarufu huko kwingineko.

Kwa upande wa Afghanistani sehemu kubwa imewekezwa kimbinu kwa Urusi tangu vita baridi viishe, na silaha wanazotumia kwa kiwangu kikubwa wadunguaji wa Afghanistani na Pakistan ni zile zenye sifa ya kulenga umbali wa zaidi ya mita mia moja hamsini (150) mpaka mita elfu mbili mia tatu hamsini (2350), zisizo toa kelele yoyote ili kutomshtua mlengwaji, yaani hutoa milio ya kimya kabisa, shwaaah! Silaha hizo ni k.v. 50 BMG, barrett M82, Mc millan Tac 50, na Denel NTW-20. .

Silaha zote hizi ni silaha jamii ya raifoni (rifles). Kila mdunguaji, huipenda raifoni za kutoka Urusi, inayoitwa L115A3 (ya masafa marefu au mafupi) hupiga mfululizo iwapo mdunguaji akiamua kuiweka katika muundo huo; humpiga mlengwa baada ya sekunde sita na kitone sifuri (6.0) na ina kasi ya mita mia mbili hamsini na mitano (255) kwa sekunde, ukiachana na ile inayoanzia kwenye tumbo la bunduki, ambayo ni mita mia tisa na thelathini na sita (936) kwa sekunde kwa risasi za milimita tisa na kitone, na mbili (9.20. .

Mwezi juni mwaka 2017 vyombo vya habari ulimwenguni viliripoti kwamba jasusi mdugungaji wa masafa ya mbali raia wa Canada aliyekuwa katika kikosi cha washirika huko Iraq aliweka rekodi ya dunia kwa kumdungua gaidi wa ISI umbali mita 3,540 (sawa na yadi 3,871). Hata hivyo, kwa mujibu wa CIA, mdunguaji mzuri siyo mwenye silaha kubwa bali shabaha kubwa.....

Kwa undani zaidi soma kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi. Kwa ofa ya "kimkakati" vitabu nakala tano kila nakala ni 50,000/= tu.

Tigo-Pesa na M-Pesa
+255715865544, +255755865544
IMG_20190129_224712_853.jpg
 
I stand to be corrected..
Yule bundi ni mbinu ya sisiemu ku'DIVERTY ishu ya muswada wa katiba, jinsi ulivyopitisha na pia mabaya yake yaliyomo ndani. Hivyo basi kwa msingi huo nachelea kusema wakuu wa vitengo na kina chakubanga wametuchezeshea FUTUHI, Ndio maaana hawakutaka kuangahika kumtoa kwa usalama bunge. Kwani huyo bundi kama ulivyosema anaweza beba vifaa vya udukuzi na hata vilipuzi mbalimbali.
 
Kwa hilo bunge letu? I doubt it! Sidhani kama ni shida kihivyo kupata taarifa zake.

Kuna kitu kimeoza humo bungeni si bure bundi kuwepo.
 
Nadhani huyo ni mlinzi wa ZZK, yaani kaja aone nani anamjibu vibaya ZZK aondoke nae, ni wa Ujiji.. Uchawi mkali upo aiseee..!! Spika anajua sana hii michezo, jana kawa mpoleeee,..!! 👹👺👿
 
ningekuwepo ningempiga na manati. halafu nampeleka pale canteen waniandalie bbq

teh teh teh tihiii
 
Nimestushwa sana kwa tukio la bundi huyu kudumu ndani ya Bunge kwa zaidi ya masaa kumi na huenda hadi kesho akawepo eneo hilo, Kilichonistua si uwepo wa bundi tu, bali kuendelea kuwepo kwa bundi huyo, Nailaumu idara ya Usalama wa Taifa kuacha bundi huyo kudumu kwa muda wote huo bila kuchukua hatua stahiki (counterattack), Lakini kiimani nawalaumu waumini wenzangu wa uafrika (wabunge 99.9%), kwani wanaijua vema tafsiri ya ndege aina ya bundi, walipaswa kuchukua hatua stahiki za haraka sana, rafiki yangu mzee Chenge, Kigwangala, Msukuma na wengine, kulikoni mmepigwa kitu hiki?

Kwa upande wa Idara ya usalama wa Taifa nitalieleza kwa kirefu sana nikirejee yale niliyoyaandika katika kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi ambacho hadi sasa wabunge na vyombo vya ulinzi nchini kimekuwa kitabu pendwa kwao...

Bundi na ndege wengine ni miongoni mwa vitendea kazi imara sana vya ujasusi wa kiasa duniani, bundi kama huyu anafungwa microcamera na vinasaba kadhaa vyenye wezo mkubwa wakusoma hata maandishi ya hansadi za bunge. Ninasema haya nikiwa na uhakika kwamba ujasusi ni taalumu inayokuwa na kubadilika siku hadi siku kulingana na mageuzi ya teknolojia,

Mwaka 2014 mwezi wa 12 tarehe 1, majira ya saa kumi na dakika arobaini na nne, katika barabara kuu jimbo la Kaskazini la Faryab nchini Afghanistani, shirika la ujasusi la nchi hiyo la Khadamat-e Aetla'at-e Dawlati ama kwa lugha ya kitumwa linaitwa "State Intelligence Agency" (KAD), kwausharika wa National Directorate of Security (NDS) walinasa miale ya camera kupitia mitambo yao yakunasa vinasa sauti/video nk (,Detectors).

Ufuatiliaji ulikuja kubaini kwamba kuna ndege anaonekana anaruka angani umbara mrefu kufuata barabara hiyo, hatua iliyowastua na taarifa ikatumwa mjini Kabul makao makuu ya Ujasusi, hatua za dharula ilikuwa ni namna gani ya kumzuia ndege huyo kufika maeneo muhimu ya kimbinu, huku sheria ya kulinda wawanyama na ndege ikiqa kikwazo katika kadhiavhiyo.

Mkuu wa kitengo cha ujasusi wa anga Maj. Gen. Abdul Nabi Ilham baada ya mjadala mrefu akatoa amri ya kuvunja sheria hiyo kwa maslahi ya nchi na kuagiza kikosi cha wadunguaji kumshusha ndege huyo ambapo dakika 20 tu za kadhia hiyo ndege huyo anayekadiriwa alikuwa urefu wa futi 780 angani alishushwa na Sajeni Awad Mohamed Nabil akitumia bunduki ya udunguaji aina ya L115A3 ya masafa marefu.

Baada ya kumuua ndege huyu ilibainika amefungwa kamera na mitambo midogo ya GPRS na uchunguzi zaidi ukabaini kuwa ndege huyu ametumwa kutokw kundi la kigaidi la Talban ambalo lilikuwa limeondolewa madarakani katika vita vya 2003 kwa msaada wa Marekani. Kimsingi ujasusi wa kutumia viumbe kama vile Samaki aina ya Dolphins, Kondoo, Ndege aina ya Hodihodi na tai ni ujasusi wa kale na umeboreshwa vizuri sana katika ulimwengu wa leo.

Marekani na Israel imekuwa ikitumia sana ujasusi huu hasa katika kuyadhibiti au kuyapa nguvu makundi ya kigaidi eneo la Mashariki ya kati na ulaya Magharibi. Nchini Tanzania nayo haipo nyuma ambapo kupitia idara yake ya ujasusi kijeshi imeweza kufundisha panya wakutegua mabomu na wa kugundua ugonjwa wa TB, huu ni ugunduzi mkubwa na kwa tafiti za maendeleo ya ujasusi, hakuna kwa sasa nchi iliyofanya ugunduzi wa aina hii kwakutumia panya, bali tunashuhudia kuona. mbwa ndio amekuwa maarufu huko kwingineko.

Kwa upande wa Afghanistani sehemu kubwa imewekezwa kimbinu kwa Urusi tangu vita baridi viishe, na silaha wanazotumia kwa kiwangu kikubwa wadunguaji wa Afghanistani na Pakistan ni zile zenye sifa ya kulenga umbali wa zaidi ya mita mia moja hamsini (150) mpaka mita elfu mbili mia tatu hamsini (2350), zisizo toa kelele yoyote ili kutomshtua mlengwaji, yaani hutoa milio ya kimya kabisa, shwaaah! Silaha hizo ni k.v. 50 BMG, barrett M82, Mc millan Tac 50, na Denel NTW-20. .

Silaha zote hizi ni silaha jamii ya raifoni (rifles). Kila mdunguaji, huipenda raifoni za kutoka Urusi, inayoitwa L115A3 (ya masafa marefu au mafupi) hupiga mfululizo iwapo mdunguaji akiamua kuiweka katika muundo huo; humpiga mlengwa baada ya sekunde sita na kitone sifuri (6.0) na ina kasi ya mita mia mbili hamsini na mitano (255) kwa sekunde, ukiachana na ile inayoanzia kwenye tumbo la bunduki, ambayo ni mita mia tisa na thelathini na sita (936) kwa sekunde kwa risasi za milimita tisa na kitone, na mbili (9.20. .

Mwezi juni mwaka 2017 vyombo vya habari ulimwenguni viliripoti kwamba jasusi mdugungaji wa masafa ya mbali raia wa Canada aliyekuwa katika kikosi cha washirika huko Iraq aliweka rekodi ya dunia kwa kumdungua gaidi wa ISI umbali mita 3,540 (sawa na yadi 3,871). Hata hivyo, kwa mujibu wa CIA, mdunguaji mzuri siyo mwenye silaha kubwa bali shabaha kubwa.....

Kwa undani zaidi soma kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi. Kwa ofa ya "kimkakati" vitabu nakala tano kila nakala ni 50,000/= tu.

Tigo-Pesa na M-Pesa
+255715865544, +255755865544
View attachment 1008723
Bundi na njiwa huwa wanashingiziwa vitu hata vilivyo inje ya uwezo wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duu tumeshafikia hatua hii watanzania wenzangu tunaogopa vivuli vyetu!!!hapo ilikuwa kuwapigia simu watu wa idara ya wanyama pori,wanaingia na nyavu zao na busket ,wanamkamata ndege ,tumbukiza ndani ya busket hadi ofisini kwao ,wanamchunguza kama ana matatizo yeyote ,kama hana wana mtag ili kufuatilia nyendo zake then wanamwachia porini,end of story.
 
Hiyo ya IDARA ndio imegundua panya wa kutegua mabomu na kipimo cha TB ni upotoshaji eidher wa bahati mbaya au kwa makusudi.. Ule mradi wa panya has nothing to do with IDARA, wala serikali ya tz kwa ujumla.

Usiwape credit wasiyostahili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom