Nimesoma miezi 3 A'level nimefaulu ijue siri.

Molembe

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
9,819
11,496
Ni kweli wakuu nilianza kujisomea mwenyewe ili kufanya mtihani wa ACSEE kuanzia mwezi wa 10 mwaka jana nimepata daraja la 3 points 13 yaani history D english D na kisw E siri kubwa ikiwa ni vitabu vya Mwl katto mastering history 1 na 2,
 
Vitabu vingine ni vya Nicholous Asheli vya english kwa kweli vitabu hivi ni vizuri sana hakika vimenisaidia sana.
 
Mkuu kweli vitabu vya Kato History 1&2 si mchezo kabisa, Ukitaka kufaulu basi piga hvyo tu lazima utoke.
 
Hivyo vitabu vya kato mi nilivisoma kwa ifasaha na nikafail. Waambie vizuri raia, usilete promo hapa
 
Kumbe HKL mi nilijua comb zetu zile zinazomtofautisha mwanafunzi wa Advance na wa O'level
 
Back
Top Bottom